Aliyesoma CBG A-level, chuoni atasoma kozi gani?

Kijana kwa pale Sua almost course zote una sifa,agriculture courses zote una opt mwenyewe,na kama O level phyisics na math ulifanya vema,Bsc in Computer science unapata,kwa kifupi kama CBG yako ina DDE unaweza soma course nzuri tu,hapo Pia Education unapata pia!!
 
Nawashukuru wote wanaojibu vizuri. kuuliza si ujinga bali ni kuongezammaarifa .
 
TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?

Sioni tatizo liko wapi hapi huyu ameuliza kwa forum kama JF anategemea atapata jibu. Na hili swali linaulizwa mara kwa mara hapa jamvini kitu ambacho kina ashiria kuna tatizo mahali. Wengi wanataka kujua kama CBG wanaweza kuchukua udakitari kwa mfano. Na majibu yamekuwa na ukinzani mkubwa hapa. Na jua kwa kilimo hio combi inafaa, kwa udakitari ni vizuri wenye experience ya mwaka jana au juzi watufahamishe. Kwa hiyo hakuna jibu straight zaidi ya experience ya waliotutangulia. Kuna mdau mmoja alisema hii combi ilianzishwa maalum kwa kilimo. Kwa wale wanaotaka kusomea science yenye somo moja au mawili ni rahisi kufigure out Chemist, Geographer na Biologist-tatizo linakuja pale unapochanganya kwa mfano unataka MD chuo kitapendelea nani PCB au CBG? Halafu uingize ushindani. Hakuna swali baya kama linaulizwa kwa nia njema. Inelekea wengi wanachagua bila kua na taarifa zinatakiwa wawe nazo.
 
Nakushukuru sana kwa ufafanuzi, nimeitwa dogo/mtoto ila mm si mtoto nataka nimsaidie aliyeniuliza pia. Labda nimeuliza kitoto sijui. wanafunzi wanapochagua combination na shule baadhi huwa hawana taatifa za kutosha, nimeleta jukwani kwa maana ya kujifunza kutokana na uzoefu wa waliosomo hiyo combination na tayari wapo field au wale ambao wana taarifa sahihi hata km hawajaisoma. Ubarikiwe sana kwa busara zako.
 
Back
Top Bottom