Aliyeshindwa kura za maoni CCM Antony Msami ahamia CHADEMA achukua fomu za ubunge

anasema anakuja kueleza siri nzito ya rushwa ktk ccm? kwani rushwa ktk chaguzi za ccm ni siri? hana jipya kama alikuwa hajui siku zote basi aje sisi tutamwambia uchafu wa ccm hata asioujua.
 
CDM kuweni makini na watu wenye tamaa ya uongozi, yaani huyu yeye ni Ubunge by all means !!!?
 
Amefanya maamuzi magumu anastahili pongezi,kadhalika mimi na wenzangu wagombea binafsi wa 2015 tumeona amefanya political manouver positive kwa CDM hata akikosa kura za kutosha CDM APEWE KATA MOJA YA KUKAMPENI 4CDM ILI ajifunze mapambano ya kutafuta uhuru wa kweli.

hana lolote njaa ya madaraka tu ndo inamsumbua,kama kweli angekua na nia angehamia chadema tangu zamani sio mpk apigwe chini,inawezekana yeye ndo katumwa na ccm kuchunguza yanayoendelea ndani ya chadema
 
he is not fit to be considered at this time
ni serial killer wa vyama vya upinzani.
never trust this makapisssss
 
Atakwenda CCK mpaka kieleweke.

Haya bwana wewe na ccm na cck yako. Hapa ndipo ninapoona hatari iliyoko mbele endapo utaendelea kushikamana na cck maana utawaharibia sana. Tutajua ni walewale tu
 
Raha ya siasa madaraka,Chungu ya siasa kukosa madaraka pole yake.Angepitishwa yeye angekiponda cdm mbaya kabisa.Ila karibu kwa sababu umekosa
 
Kama ndio hivyo mshindi kaishapatika amuoni kama mnawapotezea muda wao wagombea wengine, si bora muwaeleza mapema kuwa mgombea ni flani wasiangaike na kampeni.

Mkuu sio mgombea tu bali Mbunge wa Arumeru ameshapatikana.Ni Joshua Nassary.Tume ya uchaguzi isipoteze fedha bure.
 
Nasikia Musani kesho anatoa tamko kwenye media kuwataja wote waliotoa rushwa na michezo mingine ya rafu na inasemekana kundi la BM lipo nyuma yake na wanachama wametunza bahasha walizopewa kwa ajili ya ushahidi. Ametumiwa meseji kutoka makao makuu ya CCM aende kwenye mkutano wa nec ili kusuluhisha suala hili.
 
Nasikia Musani kesho anatoa tamko kwenye media kuwataja wote waliotoa rushwa na michezo mingine ya rafu na inasemekana kundi la BM lipo nyuma yake na wanachama wametunza bahasha walizopewa kwa ajili ya ushahidi. Ametumiwa meseji kutoka makao makuu ya CCM aende kwenye mkutano wa nec ili kusuluhisha suala hili.

Yaani aende kwenye mkutano wa NEC wakati tayari ameshachukua kadi na fomu ya ugombea ubunge kupitia CDM!?CCM wanaenda kupoteza uhai wa mtu hapo...rejea Kolimba na Majige.
 
Alipata kura ngapi kwenye kura zao za kuzidiana rushwa.

Alipata kura 22. Yeye hakutumia hela. Huyu jamaa kama kashajiunga na chama anayo sifa kamili ya mwanachadema. so anaruhusiwa kugombea na kupigiwa kura. Kama akipita kwenye mchakato wa chadema basi atapeperusha bendera ya Chadema.
 
Back
Top Bottom