Aliyesema simu kulala nayo chini ya mto ni hatari muongo...

Don Calvino

Senior Member
Mar 3, 2012
113
29
Kawaida binadamu/mtanzania analala kati ya masaa 4-9, sasa kwa muda huo tu ni mdogo sana ukilinganisha simu unazopiga pamoja na kupokea ikiwa sikioni. Pia tumekuwa na simu wengine toka miaka ya tisini, ipi ni hatari zaidi? Kuwa unaongea nayo kila siku au kulala nayo? Tafakari...
 
Back
Top Bottom