Aliyesema Chuo bata Mungu anamuona

Aliyesema Chuo bata Mungu anamuona

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
239
Reaction score
169
Dah sikutegemea yaani kile ninachokiona hapa Iringa university mpaka natamani kulia.

Kiukweli masomo magumu jamani bora advance yaani mfano philosophy unaisoma haieleweka dah advance ni bata kuliko university aisee.

Hujakaaa vizuri umeingia anga za Dr Nyamubi aisee utataman kuacha chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sikutegemea yaan kile ninachokiona hapa Iringa university mpaka nataman kulia Ki ukweli masomo magumu jaman bora advance yaan mfano philosophy unaisoma haieleweka dah advance ni bats kuliko university aisee.

Hujakaaa vizuri umeingia anga za DR NYAMUBI aisee utataman kuacha chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo bata, narudia tena chuo bataaaaa.

Advance weka mbali na watoto labda kama ulosoma H kunani ndio rahisi huko advance ila kombi zingine acha kabisaaa. Chuo nilipata kitambi cha kuzugia inamaana life simple kiasi kwa kozi nyingi.
Sasa wewe hiyo Philosophy yako somo la arts nalo unalia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
first year mna matatizo sana ...hata wiki sita hazijaisha chuoni umeshaanza kulia lia .je ukimaliza semister one ndio utaandamana kabisa.
kijana kimbizana na nyakati kwa sasa mambo sio mengi kaa tulia utumie huu wakati vizuri..topic ya kwanza milio ya sms ..vipi ukifika topic ya nne itakuaje?

kajiandae na test one mkuu bila kusahau group assignment na individual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chuo bata mkuu tatizo kichwa chako tu ndo kibovu

ndo maana ni vyema ukianza chuo jaribu kuonja pombe sio kwa ubaya lakini unabost tu kichwa kiroba au nenda disco ukachangamshe ubongo ili uondoe huo u advance ulionao kichwani

teh teh Nina miakili mingi Mimi
 
Yan una wiki tu chuo unalalama kama mke kapewa talaka. Ungesoma econometrics si ungevua pichu ukavaa kichwani ukaokota chupa za maji ukazipima kilo ukapata hela ya fegi ukatuliza akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo bata, narudia tena chuo bataaaaa.

Advance weka mbali na watoto labda kama ulosoma H kunani ndio rahisi huko advance ila kombi zingine acha kabisaaa. Chuo nilipata kitambi cha kuzugia inamaana life simple kiasi kwa kozi nyingi.
Sasa wewe hiyo Philosophy yako somo la arts nalo unalia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
PCM shule za serikali miaka ya 2000 unasema ilikuwa afadhari ww VP chuo mbona afadhari sna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo ni rahisi bwashee, waulize wenzako wanaofanya mtihani ya nbaa na Law school watakwambia jinsi watu wanavyo feli!
 
Back
Top Bottom