Aliyeruhusu ujenzi wa vibanda juu ya Mtaro wa Maji Mbezi Luis anapaswa kuwajibishwa

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,522
22,015
Wapendwa uchafuzi wa mazingira unakua kwa kasi sana huko Mbezi Luis, biashara holela, kuziba njia za watembea kwa miguu, kuziba mitaro ya maji taka na kujenga mabanda yasiyokidhi viwango vya ujenzi kumeichafua sana Mbezi Luis. Kuna maturubai ya machinga yaani yanatia kinyaa kabisa.

Kiongozi aliyehusika kutoa vibali ili uchafuzi huo ufanyike anapaswa kujiudhuru mara moja na afikishwe mahakamani kwa kosa la kuruhusu uharibifu wa mazingira.

Wakazi na wapitaji wa Mbezi mwisho mtaielewa vizuri hii picha hapa chini najua.

Nawasilisha

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…