size ya kiuno ipo mguuni
Noma kaka, miaka hiyo nasoma sekondari tunashona suruali za shule, kwenye turn up unamwambia fundi aweje 24" au 28 wakati mguu wako kama pampu ya baskeli. Mambo ya ujana bana ndo kama walivyofanya hao jamaa.
Hivi miondoko yao ilikuwaje?
Hahahaaaaa, you made my day mkuu...Wala sitaki kukusimulia sana bibie.
Enzi hizo nusu ya hiyo miguu tulivaa raizoni (raise-on).
Tulikuwa na swaga ile mbaya. We wacha tu.
Mabebi walidondoka tulipokuwa tukipita.
Masikini, mtuone sasa tu tulivyo.
Na hapo ndugu zao wanawalaumu et kwanini wameshonesha suruali modo halafu wamepga mlegezooo!!!