ndizi nzuri sana za mwese na maziwa yapo hapa soko kuu.nyama choma ntaa wa simba.kukaa misengeren kigambon biashara hardware inalipa mana ujezn upo.samak kuhe peleka dar
Mkuu nenda Mpanda,sie tupo Sumbawanga huku lakini Mpanda imechangamka sana........Kingine ipo karibu Dom,Tabora,Mwanza na Shinyanga pia hapo kuna Machimbo ya dhahabu
Aah kila mahal nch hii panafanana utofait ni mdog.ila mpanda hela mzunguko wkat wa msimu ipo na vyakul sio bei
Watu wana biashar zao.em kina madema hao mbona wanavuma hakuna sehem ambayo itakua mbaya kabisa labda vijijin ila kwa makao makuu ya wilaya au mikoa