Aliyepata Muongozo wa kujitolea kutoka wizara ya afya atume tafadhali

Huu Muongozoo Wa Kujitolea Utekelezaji Wake Utakuwa Lini Unakuwa Lini au Watatoaa Tangazoo la Watu Waendee Kujitoleaa au Utapelekeka Barua za Maombi katika Sehemu Husikaa ambayo Ungependa Kujitolea hapo Inakuaje Wadau hapo msaada wakuu
Muongozo umeeleza vingi sana, pata fursa ya kuusoma usiwe mvivu...
 
Hizi ndo nafasi zenyewe sasa unafikiri serikali ikitaka kuajiri inaanza na wakina nani kama siyo hao wanajitolea.
sasa kama ina mpango wa kuajiri kwanini isiajiri tuu.
Kuliko kuwambia watu wajitolee.
Wanafnya kazi ile ile, qualification zilezile halafu unawalipa nusu mshahara.
 
Back
Top Bottom