Aliyeona asilimia moja(1%) ya Mama tukutane hapa

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Mama aliahidi kupunguza kodi ya asilimia 1 kwenye mishahara ya watumishi kuanzia mwaka wa serikali 2022

Lakini watumishi wameanza kujiuliza asilimia moja ni ipi hiyo ,mbona haionekani?

Walioona waeleze
 
Watanzania fanyeni biashara zingine nje ya mishahara yenu,mishahara siku zote haitoshi,hamtaweza kutoboa kupitia mishahara,mishahara iwe ni colaterals za kuwawezesha kukopa pesa za kufanyia uwekezaji jamani
 
Back
Top Bottom