Aliyeolewa Anadai talaka yake

Aliyeolewa Anadai talaka yake

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Nataka talaka yangu mie!!!!!!!!!!!
Yanamtoka maneno binti wa watu.
Nalaimika kujiuliza kunani! Nikasogea karibu. Dadisi yangu ikatua kwa ndugu kabisa wa mdaiwa talaka.
Kumbe huyu binti aliolewa na jamaa yao anayefanya kazi kwenye taasisi moja kama sio benki moja hapa Tanzania.
Eti ndoa ilikuwa ya kulazimishwa sana ingawa binti hakupenda! Sababu ni nini? Huyu Binti alikuwa na mvulana wake wa tangu utotoni! Wakacheza hata ule mchezo wa kibaba baba. Wakawa na ahadi ya kuoana pindi watakapokuwa tayari. Bahati mbaya sana mvulana akapata udhamini kwenda kusoma nje! Alipomaliza shahada ya kwanza alirudi Tanzania na akakutana na binti anayehusika hapa. Waliongea mengi wakakubaliana mengi! Jamaa akapata bahati ya kuendelea na masters hukohuko majuu. Hapo ndipo kizaazaa kilizuka. Eti wazazi wa binti wanataka mjukuu na wanahisi kuwa binti yao anazeeka so wanahitaji mjukuuu.
Binti alimhusisha kila hatua mchumba wake wa tngia utotoni. Wakapanga wakatekeleza! Binti akabuni safari ya kikazi ya miezi sita! Akapatiwa tiketi yake huyooooooooo kwa mchumba wa utotoni! Akarudi baada ya hiyo miezi sita. Kurudi tu timbwili likaendelea. Ghasia mtindo mmoja! Laana kila siku! Lazimaa uolewe lazima! Kero zilivyozidi akaolewa japo shingo upande! Anadai hajawahi kuona raha ya ndoa! Mume msilamu lakini dah anarudishwa na waskaji kila siku talalila! Hata huduma ni za kichina miaka tano sasa! Leo hii krismasi hii inakaribia mchumba wa utotoni kamaliza yake baada ya miaka kadhaaa! Karudi kwao uchagani! Wale watu wale wakamtonya binti wa watu!
wazimu si wazimu! Kichaa si kichaaaa! Anadai talaka yake tena ndoa yake ni ile inayotambua wake wengi! Anamtaka mumewe wa tangu utotoni! Na mbaya zaidi unajua nini! Anadai huyo mtoto mmoja wa kwenye ndoa wala sio wa mume mwenye karatasi za ndoa! Ni ya mchumba/mume wa utotoni alipokwenda kumtembelea huko majuu alikuja na mimba!
Jamaa mwenye karatasi amefura ka kifutu hapa! Demu macho makavuuuuuuuuuuuuuu! Talaka ama nimewaambia wakapime DNA kama kweli wa mchumba wa utotoni basi hayaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
huyo naye miaka mitano yote hiyo kawezaje kuigiza,c angegoma hata kufanya mapenzi naye kama kweli hampendi huyo mumewe, ana tamaa tu, mtaka yote............................................
 
Huyo mwanaume akimkubali huyo g/f wa utotoni atakauwa hana akili timamu.
Ilikuwaje akashindwa shinikizo la kuolewa lakini shinikizo la kutoka kwenye ndoa tena analiendesha mwenyewe
ujasiri katoa wapi?
 
Surprise, na atakosa yote. Ni hapo kaka wa watu awe alishamove on na ana mpango wa kuwowa muulaya mwenziwe. Tena uchagani kulivyo na stigma ya talaka. Kijana fresher aoe mwanamke alieachika. Thubutuuu, bora angekuwa mkaka ni mzaramo hata ukioa mwanamke ana watoto saba mamako anafurahia ana wajukuu wa kutumana maembe kimazichana kwa mke mdogo wa babako!
 
Last edited by a moderator:
huyo naye miaka mitano yote hiyo kawezaje kuigiza,c angegoma hata kufanya mapenzi naye kama kweli hampendi huyo mumewe, ana tamaa tu, mtaka yote............................................

Hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanawake...sometimes wanaweza wakafake maisha ukawa unahadaiwa pasipo kujua lolote!
 
I hate hii style ya wazazi kama hawa hivi inakuwaje umlazimishe mwanao ati aolewa tupate wajukuu je wanajuaje kama unazaa kama si ujinga wa wazazi hao au wamesahau kuwa mtoto anatokana na mapenzi ya Mungu Lol!!Chukua talaka yako uende kwa mumeo wa ndoa moja na si wale wenye kutambua ndoa nyingi ah!!Fanya mbio mbio na kama uko na mtoto na mchumba wako wa utotoni
 
Mmmmh...watu kweli tumetofautiana..mwanamke anakuambia ana...taka talaka wewe unaanza kurremba...siku aki-cheat na ukajua sijui utasemaje..Yaani mm hata akijaribu tuu mi fasta nampa pamoja na nauli juu
 
Hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanawake...sometimes wanaweza wakafake maisha ukawa unahadaiwa pasipo kujua lolote!

hicho kwetu ni kipaji best, naweza nisikupende na nisikuonyeshe kua ckupend , tuna uwezo wa kusacrifice even our hapines for things we want to hapen
 
Surprise, na atakosa yote. Ni hapo kaka wa watu awe alishamove on na ana mpango wa kuwowa muulaya mwenziwe. Tena uchagani kulivyo na stigma ya talaka. Kijana fresher aoe mwanamke alieachika. Thubutuuu, bora angekuwa mkaka ni mzaramo hata ukioa mwanamke ana watoto saba mamako anafurahia ana wajukuu wa kutumana maembe kimazichana kwa mke mdogo wa babako!

jamani wewe unanichekesha ujue, kumbe wazaramo kwao asset ni mtoto hahahhaha
 
hicho kwetu ni kipaji best, naweza nisikupende na nisikuonyeshe kua ckupend , tuna uwezo wa kusacrifice even our hapines for things we want to hapen

Hongereni ila mtaendelea kuwakamata mazoba wasiojua kusoma alama na nyakati.
Nijuavyo mimi Upendo wa ukweli na ule fake hauchangamani hata kidogo....
 
Surprise, na atakosa yote. Ni hapo kaka wa watu awe alishamove on na ana mpango wa kuwowa muulaya mwenziwe. Tena uchagani kulivyo na stigma ya talaka. Kijana fresher aoe mwanamke alieachika. Thubutuuu, bora angekuwa mkaka ni mzaramo hata ukioa mwanamke ana watoto saba mamako anafurahia ana wajukuu wa kutumana maembe kimazichana kwa mke mdogo wa babako!

Asee siku hizi hayo hamna. Kuna wengi sana wanalea watoto wa wengine bila kinyongo. Usisahau huyu mtoto ni wa jamaa wa ulaya na kijana anajua ila huyu wa ndoa zinazoruhusu wake wengi hajui kitu ndo kwanza kasikia hizi taarifa.
Inasemekana pia msukumo unatoka kwa mchumba wa utotoni.
 
Back
Top Bottom