Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

kuna kitu kinaitwa remote control.... kina maana sana kwenye siasa za bongo kwa sasa

Puppet on the string is swinging
 
kuna kitu kinaitwa remote control.... kina maana sana kwenye siasa za bongo kwa sasa

Puppet on the string is swinging
Kuna wale wanaoendeshwa na genge la mafisadi huku wakizungukwa na wapiga dili.
 
Kuna wale wanaoendeshwa na genge la mafisadi huku wakizungukwa na wapiga dili.

Exactly...

CCM imejaa wapigaji watupu; Sitta, Mwakyembe, JPM, JK, Kinana, Wasirra, Lukuvi, Rostam, Dewji, manji... the list never ends
 

Mavazi ya watu hao wawili kwenye picha yanamajibu ya swali lako. Anzia viatu, suruali, koti la suti, nk.
 

Hatujahama,vipi Wewe umehama?
 
Swali litakalofuata ni je aliibuliwa kwa sababu ipi hasa?
 
Mi huwa nahisi magu alikua mtu wa usalama wa taifa(tiss)toka kitambo sana

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Samahani niko nje ya mada, hivi hao watoto kwenye picha watakuwa wapi sasa hivi?
Sijui wanajiona huko waliko?
Si ajabu ni baadhi ya makada wa ccm kwa sasa....
 
Mkapa na Magufuli wote wezi tu. Wametusainisha mikataba mibovu na sasa wanatafuta kiki kwa kuifuta bila mpango ambako kutatugharimu.

Unachoona cha maana sana kuwasifia ni kipi?
 
Hahahahaha halafu mtaozeshwa na dini ipi??? sasa kama majogoo mnataka kuburuzana

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…