Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Messages
3,222
Points
2,000
realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined May 11, 2014
3,222 2,000
Magu ni zao la mkakati maalum,uliopangwa ukapangika bila kujali atalifaa taifa au laa,ila aingie awe mtoa matamko nyuma ya Ben.

Huu mpango ni kwa ajili ya ulipaji wa visasi,kuua upinzani.

Mpanga mikakati anajulikana vyema kuwa ni Ben,mtendaji wa mkakati ni pole×2 kwa kuwatumia prof.Mihogo na Macho kodo.

Lengo la kumtumia pole×2 ni kwa sababu ya imani iliongwa kinafki wakati wa katiba ya warioba,na lengo la kumtumia Macho kodo ni katika wazo aliloleta na kuundwa UKAWA.

Nusura mkakati ufeli pale gia ilipo badilishiwa angani,ila kwa utemi wa wataalam wa IT kutoka kwa kagam.... Walimzamisha.
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,073
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,073 2,000
Salute kwa muibuaji!!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,769
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,769 2,000
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,769
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,769 2,000
Aisee! Ulipiga mule mule Mkuu four years ago and you’re 110% accurate.

Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
28,826
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
28,826 2,000
Hii ndio ccm nayoijua Mimi, enzi Hizo viongozi wamechoka hasa mcheck magufuli na mkapa yaani wamechakaa nguo za magufuli utadhani zimetoka mdomoni mwa ng'ombe.........
Pale Ikulu kuna mtu special ameajiriwa cheo cha valet, Mkapa alitoka MFA akawa rais, JK pia alitokea MFA akawa rais, hivyo nimesafiri na Mkapa ziara za nje, nimesafiri na JK ziara za nje nikaona kama huyu valet ambaye lazima awepo Kama anakula tuu mshahara wa bure na ma per diem, lakini kwa ile dress code before and after lazima tukubali kiukweli kabisa valet ni mtu muhimu na amesaidia sana, sasa suti zinamkaa, mwanzo zilikuwa zinamvaa.

Huyu mtu aliibuliwa hapa
P
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,769
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,769 2,000
Kwa kujipigia debe tu kuhusu kuibuliwa kwa huyo mwendawazimu anayelisambaratisha Taifa hujambo.

Pale Ikulu kuna mtu special ameajiriwa cheo cha valet, Mkapa alitoka MFA akawa rais, JK pia alitokea MFA akawa rais, hivyo nimesafiri na Mkapa ziara za nje, nimesafiri na JK ziara za nje nikaona kama huyu valet ambaye lazima awepo Kama anakula tuu mshahara wa bure na ma per diem, lakini kwa ile dress code before and after lazima tukubali kiukweli kabisa valet ni mtu muhimu na amesaidia sana, sasa suti zinamkaa, mwanzo zilikuwa zinamvaa.

Huyu mtu aliibuliwa hapa
P
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
28,826
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
28,826 2,000
Kwa kujipigia debe tu kuhusu kuibuliwa kwa huyo hujambo.
Sijipigii debe as if nimemuibua mimi, mimi nilileta tuu nilichosikia, tena hapo ndio nimejitahidi sana kuhifadhi, watu wakileta humu kila wanachosikia, jf patakuwa hapatoshi.

Naendelea kusisitiza, heshima kitu cha bure,

Hata kama humpendi vipi, lakini muheshimu, na si lazima kisiasa, just for the sake of Janet such a nice lady na kina Jesca, kama ilivyo kwa mwana wa mwenzio ni wako, na baba wa mwenzio ni wako, mheshimu.
P
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,769
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,769 2,000
Siwezi kumuheshimu dikteta, mwizi, muongo, muuaji, anayedharau katiba, bunge na mahakama na sasa anaidharau ofisi ya CAG na hii ni wiki ya tatu tangu akabidhiwe ripoti na CAG Assad lakini pamoja na ripoti hiyo kujaa maovu chungu nzima ya pesa za walipa kodi lakini kaamua kudharau na kukaa kimya. Mtu kama huyu hastahili heshima ya Mtanzania yeyote yule mwenye mapenzi ya kweli ya nchi yetu na anayeheshimu Utawala wa sheria

Hapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.

Ripoti ya CAG, ni ripoti ya kwenda Bungeni, imekabidhiwa kwa rais ili ipate presidential powers tuu na sio kwa rais kuitekeleza, inatakiwa ijadiliwe na Bunge, Bunge litoe maazimio ndipo yarudi serikalini kwa utekelezaji .
P
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,769
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,769 2,000
Acha kupotosha nilichoandika! Wapi nilipoandika “aitekeleze”?

Hapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.

Ripoti ya CAG, ni ripoti ya kwenda Bungeni, imekabidhiwa kwa rais ili ipate presidential powers tuu na sio kwa rais kuitekeleza, inatakiwa ijadiliwe na Bunge, Bunge litoe maazimio ndipo yarudi serikalini kwa utekelezaji .
P
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
10,766
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
10,766 2,000
Hapa ndipo kwenye tatizo ambalo Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya Civic education ya mihimili mitatu ya dola haipaswi kuingiliwa.

Ripoti ya CAG, ni ripoti ya kwenda Bungeni, imekabidhiwa kwa rais ili ipate presidential powers tuu na sio kwa rais kuitekeleza, inatakiwa ijadiliwe na Bunge, Bunge litoe maazimio ndipo yarudi serikalini kwa utekelezaji .
P
BAK kuna jambo huwa hayuko sawa kabisa, ni kudhania uzalendo ni kutukana viongozi wa nchi bila kutumia busara, si suala zuri
 
Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top