meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" Johnni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.
Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.
Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!
Hivi wale "samaki wa magufuli" wameishia wapi? mwenye kujua atujuze tafadhali
Hivi wale "samaki wa magufuli" wameishia wapi? mwenye kujua atujuze tafadhali
waliishia mezani wakaliwa......jaman hembu ulizeni vitu kama mpo timamu hizo bangi za kugongea haziwafai hata kidogoHivi wale "samaki wa magufuli" wameishia wapi? mwenye kujua atujuze tafadhali
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?
Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.
Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?
Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?
Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?
Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?
Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.
Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.
Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!
Hii ndio ccm nayoijua Mimi, enzi Hizo viongozi wamechoka hasa mcheck magufuli na mkapa yaani wamechakaa nguo za magufuli utadhani zimetoka mdomoni mwa ng'ombe.........
Wakati huo ulikuwa bado Moxico au ulishakuja bongo?
Nilikuwa bado Nipo Moxico ndugu.