Wapinzani wanasubiri "makapi" kutoka ccm? Au anawambia wale watakao temwa na ccm kuwa kuna nafasi bado upande wa pili?
Walee jamaa wakitoka kwenye kichinjio, muda wa kuruka viunzi unakuta umeisha. Wako oves kwa kweli na siku zimeisha. Huu mwaka tutaona mengi.
Kizumngumguti kiko kwenye baadhi ya majimbo kama Kigamboni, msiyempenda wajumbe wa wamempenda zaidi.Walee jamaa wakitoka kwenye kichinjio, muda wa kuruka viunzi unakuta umeisha. Wako oves kwa kweli na siku zimeisha. Huu mwaka tutaona mengi.
Upinzani wanasubiria walioachwa ccm lakini mpaka sasa bado orodha haijatoka
yap, nakubaliana na wewe.Hapa tafsiri ni kwamba, tofauti na miaka yote ambayo upinzani walizoea kupata wagombea waliokatwa kutoka ccm, this time around hata mwanya hauonekani wa kupata wagombea wa aina hiyo! That is why dereva wa bajaji (upinzani) anasubiri abiria kutoka ccm lakini haoni hata dalili za huyo abiria kuja kupanda bajaji yake.
Hii ni baada ya ccm kuficha hadi dakika za mwisho list ya walioteuliwa kupeperusha bendera ya ccm kwa nafasi za ubunge! Hii ni ishara mbaya, coz kuna uwezekano mkubwa sana hadi ma-tycoon wa ccm wakakatwa this time na wakawa hawana second option kabisa!
Bajaji imeshapata mmoja.