Aliyemteka MO Dewji ni nani?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018

Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye aliyemteka mo dewji

Kesi hiyo haijawahi kusikilizwa mahakama zaidi ya kuiahirisha tu.

Juzi Mahakama ya Kisutu imemwachia huru mtuhumiwa huyo na kuacha maswali mengi kama

1. Kwanini polisi walisema dereva taxi ndio alimteka mo?

2. Kama mtekaji sio huyo dereva taxi kwanini alishtakiwa?

3. Nani alimteka mo?

4. Au mo dewji hakutekwa?

MO.JPG
 
Hujufa hujaumbika. Majumba makubwa usitiri mambo. Ziumiazo ni nyasi fahari wa wawili watifuanapo.
 
Swali la nyongeza; Hivi walio mshambulia huyu mwamba Tundu Lissu kwa mvua ya risasi, tena mchana kweupe kule Dodoma! ni akina nani? Maana tokea 2017 mpaka leo, polisi na Serikali ya ccm wanatoa majibu mepesi mepesi tu!
Itakuwa labda kwa mahaba yako unalazimisha kuhamishia attention kwa Lissu. Mada hapa ni MO.
 
eti dereva taxi....wakati hawa huwa ni wazee wa vipenyo... ha ha ha
 
Itakuwa labda kwa mahaba yako unalazimisha kuhamishia attention kwa Lissu. Mada hapa ni MO.
Mahaba ya nini tena! Na wakati hilo ni swali tu nyongeza!! Matukio yote yanafanana! Wahusika mpaka leo hawajulikani!!

Jitahidi basi wakati mwingine uwe unafikiri zaidi (yaani uwe una 'Think Big') kwa afya ya ubongo wako.
 
Najua Mmeuliza Maswali Magumu Ambayo Ukweli Mchungu
Watanzania Siyo Wajinga Alisema Jiwe
Mambosasa Yupo Asaidie Hili Jambo Ukweli Ujulikane
 
Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018

Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye aliyemteka mo dewji

Kesi hiyo haijawahi kusikilizwa mahakama zaidi ya kuiahirisha tu.

Juzi Mahakama ya Kisutu imemwachia huru mtuhumiwa huyo na kuacha maswali mengi kama

1. Kwanini polisi walisema dereva taxi ndio alimteka mo?

2. Kama mtekaji sio huyo dereva taxi kwanini alishtakiwa?

3. Nani alimteka mo?

4. Au mo dewji hakutekwa?

View attachment 1870261
kibinadamu ningekuwa mo ningempa japo kamtaji hyu dereva kimya kimya..
 
Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018

Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye aliyemteka mo dewji

Kesi hiyo haijawahi kusikilizwa mahakama zaidi ya kuiahirisha tu.

Juzi Mahakama ya Kisutu imemwachia huru mtuhumiwa huyo na kuacha maswali mengi kama

1. Kwanini polisi walisema dereva taxi ndio alimteka mo?

2. Kama mtekaji sio huyo dereva taxi kwanini alishtakiwa?

3. Nani alimteka mo?

4. Au mo dewji hakutekwa?

View attachment 1870261
hivi huwa najiuliza sana mnapataje tabu kujiuliza maswali mengi wakati aliyetekwa yupo yeye hataki kusema, yeye ndiyo anajuwa kila kitu alyofanyiwa huko na alichoambiwa mpaka akaachiwa nyie mnaumiza vichwa bure mo anajuwa kama alitekwa au vipi
 
Mahaba ya nini tena! Na wakati hilo ni swali tu nyongeza!! Matukio yote yanafanana! Wahusika mpaka leo hawajulikani!!

Jitahidi basi wakati mwingine uwe unafikiri zaidi (yaani uwe una 'Think Big') kwa afya ya ubongo wako.
Nyongeza gani hiyo kama nazi kwenye supu bwana?! Kwahiyo kila unsolved crime ikiungwa hapo itakuwa sawa!
 
Watu wanaposema "Never Again", ndio maana yake hii

Kwamba haijalishi nafasi yako kwenye jamii, you are not safe. Mo ametekwa, amepatikana mpaka leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kutatua kitendawili hiki. La Lissu wanasema hatoi ushirikiano, la Mo vipi? Nae kagoma kuongea?
 
Mwendazake, Bashite na kundi lao la watu wasiojulikana.

Back
Top Bottom