Aliyemshitaki DC wa Korogwe ahamishiwa Nzega

DC gambo kawadhalilisha wanawake kwa ujumla! kumwambia mwanamke ana "degree ya chupi" ni tusi sio tu kwa najum bali kwa wanawake wote nchini!
Pius msekwa alipokuwa spika alishawahi kuomba radhi kwa kauli yake ya "wivu wa kike"

Mwanasheria mzima anataka kufanya kazi na wanasiasa!!! Kama anaona vipi awatose tu aje kuwa wakili wa kujitegemea, period! Then aanze kuifuatilia hiyo kesi forthwith! Upuuzi sana wamwfanya, how could people behave like this? Unatukana mu ana degree ya pichu then unatumia mabavu!! Wanasheria onyesheni msimamo wenu with no mercy!
 
Nchi Yetu inaendeshwa ki Magumashi saana, C unajua ukijifanya wee mjanja na unapenda haki lazima wakutupie K paja la kuku, waone kama utakula tu, then bata unaongezewa na kakonyagi kinachofuata ni usingiziiiii , ,,,, No Complain any More, Jamaa kesha kula Kamilioni ka Uhamisho na Disturbance allowance sasa , nini atapiga kelele tena, na Huko kapewa U bwana msimamizi, Kwishineeeeee

nashauri aandike 24 hours notice, aache kazi, aanze kupigania haki yake na Mungu atamlipa. akienda huko karagwe tutaamini kuwa digrii yake ni ya chupi, kwa kuwa anaogopa kuacha kazi kwa kuwa kwa max za chupi haweza kupata kazi mahali pengine.......akina mama mko wapi? mbona mmemtupa mwenzenu? manake kwa kuwa dc ni magamba ndo mnamtosa mwenzenu. pia udsm au chuo kilichotoa hiyo digrii kiombe kuunganishwa kwenye hiyo kesi kabla hatujumuisha kuwa kuna vyo vya namna hiyo
 
MwiKimbi, Lazima ujue hao wote ni magamba , ila kuna magamba makubwa na madogo, huyo ni gamba dogo, ndio maana amelambishwa asali kidogo na ahadi kidogo, then , Kwishineeee, Kumbuka hao ni Chukua chako Mapema,( CCM ) Sasa huyu C ameshapewa Chake na Kutupwa hukooooo, Hana Uchungu na walalahoi, Achana nao wajisort, wenyeywe
nashauri aandike 24 hours notice, aache kazi, aanze kupigania haki yake na Mungu atamlipa. akienda huko karagwe tutaamini kuwa digrii yake ni ya chupi, kwa kuwa anaogopa kuacha kazi kwa kuwa kwa max za chupi haweza kupata kazi mahali pengine.......akina mama mko wapi? mbona mmemtupa mwenzenu? manake kwa kuwa dc ni magamba ndo mnamtosa mwenzenu. pia udsm au chuo kilichotoa hiyo digrii kiombe kuunganishwa kwenye hiyo kesi kabla hatujumuisha kuwa kuna vyo vya namna hiyo
 
DC gambo kawadhalilisha wanawake kwa ujumla! kumwambia mwanamke ana "degree ya chupi" ni tusi sio tu kwa najum bali kwa wanawake wote nchini!
Pius msekwa alipokuwa spika alishawahi kuomba radhi kwa kauli yake ya "wivu wa kike"

ndo matokeo ya vyeo vya kuoeana kishkaji, maadili hakuna, na kwa sababu cheo kapewa na mshkaji wake wa kijiwe anaendesha ofisi kama yupo chooni kwake vile kuropoka hivyo nila kushirikidha akili...... Ameaibisha vijana hususan alokuwa nao chuo kule njiro
 
lugha alo2mia dc cyo ya kiungwana ila kiukweli yule dada ni km hakumaliza shule njoen hapa oficn mulize alichofanya 2kakubali katenda km mwanasheria,na aende mana wengi pia 2naona degree ake ya ki2 flani.
 
nashauri aandike 24 hours notice, aache kazi, aanze kupigania haki yake na Mungu atamlipa. akienda huko karagwe tutaamini kuwa digrii yake ni ya chupi, kwa kuwa anaogopa kuacha kazi kwa kuwa kwa max za chupi haweza kupata kazi mahali pengine.......akina mama mko wapi? mbona mmemtupa mwenzenu? manake kwa kuwa dc ni magamba ndo mnamtosa mwenzenu. pia udsm au chuo kilichotoa hiyo digrii kiombe kuunganishwa kwenye hiyo kesi kabla hatujumuisha kuwa kuna vyo vya namna hiyo

mh mkuu, kuacha kazi nako si jambo rahic kama unavyoliandika hapa, sema tuwalaumu wanawake wameomtupa mwenzao, wajifunze ushirikiano wa waandishi wa habari
 
hiyo nayo inaweza kuwa dharau kwa wananzega
wamkatae tu mpaka mahakama itakapothibitisha kuwa digrii yake ni ya darasani
pia chuo alichosoma nahic walimu wake wanapaswa waje mbele wamtetee mwanafunzi wao, otherwise nao wamo katika kashfa hii. kwakweli taasisi za juu zimevunjiwa heshima kwa kutoa degree za chupi
 
lugha alo2mia dc cyo ya kiungwana ila kiukweli yule dada ni km hakumaliza shule njoen hapa oficn mulize alichofanya 2kakubali katenda km mwanasheria,na aende mana wengi pia 2naona degree ake ya ki2 flani.

Kumbe!
 
Hivi kuna tafauti ya ukubwa wa kosa kati ya lile la yule DC aliyewachapa viboko walimu nala huyu Gambo?
 
Back
Top Bottom