🙁🙁 KIKI~JFView attachment 421998 Tatizo nafasi hizi walizopewa hawa makada wenzangu zinawapwaya.Wanapenda kwenda na matukio,wanaiga mkubwa anachokifanya!!Wanafikiri kudhalilisha walimu ndio kuwawajibisha,kumbe kuna tofauti kubwa sana ya kuwajibisha na kudhalilisha.
Uwajibishaji kwa mtumishi wa umma unaendana na sheria,kanuni na taratibu,wakati kudhalilisha kunaendana na matamko,mihemuko na sifa za kijinga.Eliud hana uzoefu wowote wa kuwa mkurugenzi tena kwenye halmashauri kama ya Misungwi.
Nafasi za Ukurugenzi sio nafasi za u-DC,ambapo unaweza muokota mtu hata barabarani na ukampa hiyo nafasi.Ukurugenzi wa Halmashauri ni nafasi nzito,inayomtaka mtu kuwa na uzoefu usiopungua miaka 10 ndani ya utumishi wa Umma,ili kumfanya mtu awe mzoefu na kanuni,sheria na taratibu za kuongoza.
Eliudi aligombea ubunge wa CCM kura za maoni jimbo la Mbeya Mjini,kigezo chake ni ukada na si uweledi,asipokemewa kwa hili la kundekisha mwalimu,ipo siku anaweza fika Hospital ya Wilaya akamtaka nesi amchambishe....CWT mkomalieni huyu mpaka ajifunze.
Mbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.
Mtumishi mbabe, Dikteta na mnyanyasaji kama huyo usitarajie Kuwa atatumbuliwa,.. Haiwezekani! Hapo asubiri kupandishwa cheo tu.. Mkulu hatumbui watu wenye tabia zinazofanana na za kwake, katumwa huyo!Kishaona dalili ya kutumbuliwa huyoooo,anajifanya naye mungu mtu.Daaaahhh hua naskiaga vibaya mno kuona mwalimu akionewa au kudhalilishwa,tunajisahau sana wakati hao ndo walez na wasimamiz wa taaluma zetu
Kwa sababu wanafunzi wamechafua!! Kwa nini tusiwakamate wanafunzi? Uonevu tu!!Yah! kwanini Darasa liwe chafu?
Mimi natamani niwe nakutana na watu kama huyo Mkurugenzi halafu nimuoneshe kuwa ninaweza kuingia kwenye historia ya nchi.muda mwingne nataman nihamishiwe sayar ya mars kw muda ili nisiweze kusikia mambo yanayotokea apa kwetu.! maana ni aibu kuyasikia,kuyaona na kiyaishi.!!
Kwanini hakubari kudekiKwa nini?
View attachment 421998 Tatizo nafasi hizi walizopewa hawa makada wenzangu zinawapwaya.Wanapenda kwenda na matukio,wanaiga mkubwa anachokifanya!!Wanafikiri kudhalilisha walimu ndio kuwawajibisha,kumbe kuna tofauti kubwa sana ya kuwajibisha na kudhalilisha.