Aliyempiga rais Mwinyi makofi afariki dunia?

Aliyempiga rais Mwinyi makofi afariki dunia?

Yule kijana aliniuzi sana. Anyway, mungu amlaze mahala pema peponi.
 
Kwa majibu haya kwenye kufeli mitihani huwa mnawasingizia wlm swali lingine majibu hata hayakaribii jibu , wabongo ujuaji unaponza
 
Mwinyi Kibao.gif
 
acha uwongo wewe, hata mimi nimesoma nae pale ilboru, enzi za kitemango,,, alikikua mtu wa maneno mengi sana, wala hakua na upole wowote...usipotoshe umati huu....


unbeliavable kumbe ilboru pia wanasoma vich....!!!! nilidhani ni shule ya vipaji maalum kwa maana ya akili kumbe ni kinyume chake!!! hahahaaaa...better angekuwa nami mkwawa complex tungesema ile shule ilikuwa ya wehu...aahaaa ilboru?? kweli kua uyaone au uyasikie!!

mix with yours
 
Huyu jamaa ashakua Celbrity Ghafla?
In any way Mleta mada anauliza kama kuna M2 mwenye habari zaidi.
Binafsi ningeomba mleta mada angejaribu kupata majibu mazuri from the source.
If you really needed to know ungemuuliza huyo aliyekwambia vizuri, then kama ni kweli ndio ungeileta hapa kama Habari
 
Kwa kuwa kila nafsi itaonja mauti, basi kama kweli kafariki sisi tuliobaki wajibu wetu kwake ni tumwombe MUNGU aiweke roho yake mahala pema peponi . Amen
 
Hebu tumuulize yule alikubali kumfadiri kwa kumlipa living allowances wakati aliwa lupango, nadhani anajua.
 
Back
Top Bottom