Aliyempiga rais Mwinyi makofi afariki dunia?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
wadau nimesikia eti yule kijana amekufa.kuna ukweli katika hili? Mwenye taarifa atujuze.
 
sikutoa taarifa,nauliza kwani nimesikia fununu hizo.jamani kama hujui si ukae kimya
 
Fununu zako zinahang ,jaribu kueleza umesikia kwa nani,wapi,kilichomuua n.k.isijekuwa wewe ndio muanzilishi wa fununu.expand your tetesi please.
sikutoa taarifa,nauliza kwani nimesikia fununu hizo.jamani kama hujui si ukae kimya
 
Yule Kijana nilisoma naye shule sekondari, nilikuwa nimemtangulia vidato, alikuwa ni kijana mpole kweli, asiye na makuu, alikuwa ni MchaMungu. alikuwa ni mnyenyekevu kwa viongozi wake.

Watu wanaweza wakamdhania vibaya kijana yule, lakini hao ni wasiofahamu japo kiduchu ya historia yake.

Mimi binafsi ninaamini kitendo kile alichokifanya kilikuwa nje ya uwezo wake, kwa sababu tabia yake haikuwa Violent.
 
Mkuu labda alikuwa brainwashed na extremists? Maana si rahisi kwa mtu mpole na mnyenyekevu kugeuka kuwa mtu violent from one day to another. Just wondering...
 
Yule Kijana nilisoma naye shule sekondari, nilikuwa nimemtangulia vidato, alikuwa ni kijana mpole kweli, asiye na makuu, alikuwa ni MchaMungu. alikuwa ni mnyenyekevu kwa viongozi wake.

Watu wanaweza wakamdhania vibaya kijana yule, lakini hao ni wasiofahamu japo kiduchu ya historia yake.

Mimi binafsi ninaamini kitendo kile alichokifanya kilikuwa nje ya uwezo wake, kwa sababu tabia yake haikuwa Violent.

Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani wenye siasa kali wanaweza kuathiri akili yan mtu mpaka akafanya mambo bila kutarajia
 
Yule Kijana nilisoma naye shule sekondari, nilikuwa nimemtangulia vidato, alikuwa ni kijana mpole kweli, asiye na makuu, alikuwa ni MchaMungu. alikuwa ni mnyenyekevu kwa viongozi wake.

Watu wanaweza wakamdhania vibaya kijana yule, lakini hao ni wasiofahamu japo kiduchu ya historia yake.

Mimi binafsi ninaamini kitendo kile alichokifanya kilikuwa nje ya uwezo wake, kwa sababu tabia yake haikuwa Violent.

mkuu hata mimi nilisoma naye pale arusha mimi naitafsiri tabia yake kama anti-social na sio upole.
 
Yule Kijana nilisoma naye shule sekondari, nilikuwa nimemtangulia vidato, alikuwa ni kijana mpole kweli, asiye na makuu, alikuwa ni MchaMungu. alikuwa ni mnyenyekevu kwa viongozi wake.

Watu wanaweza wakamdhania vibaya kijana yule, lakini hao ni wasiofahamu japo kiduchu ya historia yake.

Mimi binafsi ninaamini kitendo kile alichokifanya kilikuwa nje ya uwezo wake, kwa sababu tabia yake haikuwa Violent.

acha uwongo wewe, hata mimi nimesoma nae pale ilboru, enzi za kitemango,,, alikikua mtu wa maneno mengi sana, wala hakua na upole wowote...usipotoshe umati huu....
 
Yule Kijana nilisoma naye shule sekondari, nilikuwa nimemtangulia vidato, alikuwa ni kijana mpole kweli, asiye na makuu, alikuwa ni MchaMungu. alikuwa ni mnyenyekevu kwa viongozi wake.

Watu wanaweza wakamdhania vibaya kijana yule, lakini hao ni wasiofahamu japo kiduchu ya historia yake.

Mimi binafsi ninaamini kitendo kile alichokifanya kilikuwa nje ya uwezo wake, kwa sababu tabia yake haikuwa Violent.

upole wake unahusiana vp na kifo chake!? Acha kutoka nje ya topic. Umeulizwa kuhusu kifo chake, kama hujui chochote kaa kimya. Ninyi ndio wale wanafiki mnaomsifia mtu baada ya kufa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom