Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Ni nani mwenye uwezo uo mkubwa wa kumtishia Prof achukue tu wanafunz failures otherwise angemfukuza chuo? hawa wanafunz asilimia kubwa wanatoka wapi? hiv mmejiuliza maswali haya?
kuna mambo meng nyuma ya suala hili la udom.
kuna mambo meng nyuma ya suala hili la udom.