Ayanda85
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 629
- 567
Vijana wengine wanalaana kwelikweli sasa mama lowasa SI mama yake WA kumzaa kweli kila sehemu Ina machizi ILA mzee atakaposhika nchi atamsamehe kuonyesha mfano kwa wasiojua kusamehe.
hii ya mke WA deo kupewa ubunge imekuwa kama ufalme WA uingereza au?
Yani kwenye ya mke wa Deo imeniacha hoi..imeanza kutrend sasa akifa huyu anachukua next of kin! Hatari sana