kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,404
labda kuna kitu nyuma ya pazia
Ndo amshike kalio kijana ana tabia chafu sana na hana malezi mazuri. Huo ni uzalilishaji
Mama Lowasa alikuwa anasema ame witness (sijui nn) ndo maana akalewa sasa ndo akashikwa tako
Mwe mbona alikua yuko katika hali ya ulevi wangemsamehe tu!
WOTE walilewa, ndio maana akampiga na mic. Wasamehewe wote walikuwa UNDER ALCOHOL INFLUENCE
huyu mmama n mtu wa ndogo ndogo jaman ukute n kibasha chake
Hawa vijana wamekosa maadili;
Mungu akiwajibu wasishangae.