Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
huyo kijana hana aibu,,anapapasa kalio la firstlady....!!
Mama Lowasa alikuwa anasema ame witness (sijui nn) ndo maana akalewa sasa ndo akashikwa tako
astaqufullah..... alimfanyaje???
kwenye mikutano; wakati msaga sumu anatumbuiza ;
dada zetu wangapi wanashikwa ;
haki kwa wote
Mkuu tafuta hiyo video tuu utaona wewe mwenyewe....
Ni laana
upo sahihi kabisa labda kama mama lowasa asingepaniki angemsikiliza ni kwanini amemgusa then akamuelezea vizur isingeonekana kama ni tatizo.Jaman huyo kijana ni kama alikuwa anamstua mama Lowasa aache kusema kanywa bia
Alilambwa vibao Mwinyi mwenye walinzi zaidi ya watatu, ndo iwe huyu?!maza hana bodigadi ???
Mkuu tafuta hiyo video tuu utaona wewe mwenyewe....
Ni laana
kwenye mikutano; wakati msaga sumu anatumbuiza ;
dada zetu wangapi wanashikwa ;
haki kwa wote
Ipo wapi hiyo clip?
Blazaaa unayo? Nitumie basi
gazeti hili kwa urongo mwisho wa maarifa. mama lowassa hakuwahi kudahlilishwa picha hizo mmezitengeneza ili mje na urongo huo ati amekimbia nchi. mama lowassa anao ulinzi wa red brigade pamoja na wa serikali ambao hauwezi kuachia uzembe huo. tafuteni urongo mwingine huu mmechelewa
Ndo amshike kalio kijana ana tabia chafu sana na hana malezi mazuri. Huo ni uzalilishaji