Aliyembaka mtoto wa miaka 11 msikitini ahukumiwa

Aliyembaka mtoto wa miaka 11 msikitini ahukumiwa

kwanin watu hawajaandaman jaman kumshikisha mtoto Quran tena msikitin huku unambaka! hli ni kosa kubwa zaid ya lile la mtoto wa mbagala aliyekojolea Quran. nahc kuna kaubaguz hapa.

Ehe Bwana na mimi nilitarajia wangeandamana kulaani kitendo cha huyu ustaadhi, lakini kumbe akifanya mwenzao ni ruksa.

Tiba
 
Safi sana halafu hakimu amekuwa efficient sana kesi kaendesha haraka ili mtuhumia awahi kunyelea debe.

Tuko pamoja mkuu. Laiti kesi zote zingekuwa zinaendeshwa kwa mtindo na kasi hii, watu wangepungua sana huko rumande.

Tiba
 
Mwongezeni miaka mitano ya kufanya masjid gesti hausi ya shot taim bila kulipa.
 
Waislam hatukubali hiyo
hukumu bila kuandamana... tunataka Sharia huyo jamaa atolewe kifungoni
tumponde mawe hadi afwe... huu ni mfumo kristo wa wazi kwa hukumu
hiyo... kapendelewa sana... Allah angekuwepo huyo jamaa angeshanyonywa
Damu na ardhi... kashusha heshima ya Mungu Mwezi au hakutizama juu kuona
kama kuna Alama ya Mwezi juu ya msikiti...

Acha kuandika upuuzi inakusaidia nini?
 
Liwale. Mahakama ya Wilaya ya Liwale, Lindi imemhukumu Mussa Chande kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Kawawa.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Liwale, Eric Ruhumbiza alimtia hatiani mshtakiwa kwa kosa hilo chini ya Kifungu namba 130 na 131 vya Sheria ya Makosa ya Kujamiiana (Sospa) ya mwaka 1998.

Ruhimbiza alisema Mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na upande wa mlalamikaji mahakamani hapo na kumtia hatiani pasi na shaka yoyote mshtakiwa kwani ushahidi uliotolewa na shahidi namba tano ambaye ni binti aliyebakwa ambaye alitoa maelezo ya maumbile na viungo vya siri vya mtuhumiwa ulitosheleza.

Awali, Mwendesha Mashitaka wa Polisi, PC Josephat alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Mei 8, mwaka huu saa nne asubuhi ndani ya Msikiti wa Kawawa, Liwale jirani kabisa na shule anayosomea mwanafunzi huyo.

Alisema mshtakiwa alimchukua mtoto huyo na kumwingiza msikitini, sehemu wanayosalia wanawake na kumlaza chini na kumvua nguo huku akimfunika kwa kanga usoni.

Aliieleza Mahakama kuwa mshtakiwa huyo kabla ya kumbaka, alimwekea Kitabu kitukufu cha Quran kichwani na kumwambia kuwa kwa aya anayomsomea, akimweleza mtu kitu atakachomfanyia atageuka kipofu.

Alisema jambo hilo lilifahamika baada ya mfanyabiashara katika na eneo la shule hiyo kutilia shaka nyendo za mwalimu huyo wa dini kuingia kwenye msikiti upande wa wanawake na kutoka kila mara kuchungulia nje.

Alisema mfanyabiashara huyo alipofuatilia, alikuta mwanafunzi huyo akitoka msikitini huku akilia na alipomhoji alimweleza kilichojiri ndipo alipoomba msaada kwa wanawake waliokuwa jirani.

Alisema wanawake hao walimchukua na kumwogesha kisha wakampeleka hospitalini. Alisema uchunguzi ulipofanyika katika eneo la tukio, mbegu za kiume zilionekana pamoja na kanga.

Mwendesha mashtaka aliiomba Mahakama impe adhabu kali mshtakiwa kwani licha ya tendo ovu la kumbaka na kumdhalilisha mtoto huyo, aliudhalilisha Uislamu na kitabu kitakatifu cha Quran kufanikisha uhalifu wake.

Source;Gazeti la Mwananchi.
 
Ndo maana nasema serikali ipige marufuku uvaaji wa kininja... Hawa maninja ni kichaka cha waharifu
 
Sharia ingetumika kumhukumu! Sijui inasemaje kwenye kesi kama hii.
 
Mbona amepewa adhabu ndogo sana huyo kafir???? apigwe tigo na yeye humo gerezani........................
 
mahakama ya wilaya ya liwale, lindi imemhukumu mussa chande kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma darasa la nne shule ya msingi kawawa.

Akisoma hukumu hiyo, hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya liwale, eric ruhumbiza alimtia hatiani mshtakiwa kwa kosa hilo chini ya kifungu namba 130 na 131 vya sheria ya makosa ya kujamiiana (sospa) ya mwaka 1998.

Ruhimbiza alisema mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na upande wa mlalamikaji mahakamani hapo na kumtia hatiani pasi na shaka yoyote mshtakiwa kwani ushahidi uliotolewa na shahidi namba tano ambaye ni binti aliyebakwa ambaye alitoa maelezo ya maumbile na viungo vya siri vya mtuhumiwa ulitosheleza.

Awali, mwendesha mashitaka wa polisi, pc josephat alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo mei 8, mwaka huu saa nne asubuhi ndani ya msikiti wa kawawa, liwale jirani kabisa na shule anayosomea mwanafunzi huyo.

Alisema mshtakiwa alimchukua mtoto huyo na kumwingiza msikitini, sehemu wanayosalia wanawake na kumlaza chini na kumvua nguo huku akimfunika kwa kanga usoni.

Aliieleza mahakama kuwa mshtakiwa huyo kabla ya kumbaka, alimwekea kitabu kitukufu cha quran kichwani na kumwambia kuwa kwa aya anayomsomea, akimweleza mtu kitu atakachomfanyia atageuka kipofu.

Alisema jambo hilo lilifahamika baada ya mfanyabiashara katika na eneo la shule hiyo kutilia shaka nyendo za mwalimu huyo wa dini kuingia kwenye msikiti upande wa wanawake na kutoka kila mara kuchungulia nje.

Alisema mfanyabiashara huyo alipofuatilia, alikuta mwanafunzi huyo akitoka msikitini huku akilia na alipomhoji alimweleza kilichojiri ndipo alipoomba msaada kwa wanawake waliokuwa jirani.

Alisema wanawake hao walimchukua na kumwogesha kisha wakampeleka hospitalini. Alisema uchunguzi ulipofanyika katika eneo la tukio, mbegu za kiume zilionekana pamoja na kanga.

Mwendesha mashtaka aliiomba mahakama impe adhabu kali mshtakiwa kwani licha ya tendo ovu la kumbaka na kumdhalilisha mtoto huyo, aliudhalilisha uislamu na kitabu kitakatifu cha quran kufanikisha uhalifu wake.

chanzo; mwananchi

===========
https://www.jamiiforums.com/habari-...83-mbaroni-kwa-kumnajisi-mtoto-msikitini.html

wale wazalendo wa dini ya kiislamu wako wapi. Mwak juzi kijana mdogo underage alikojolea qur'wan kule dar. Tulishuhudia mama mmoja akilia kwa hasira na kitabu cha mtume wake na majambazi wakisingizia qur'wan wakaingia kanisa la kkkt na kuiba vitu walipjaribu kuingia rc wakakutana na kungfu na karate wakgwaya.

Sasa wako wapi wazalendo angalia matendo maovu ya bwana chande tena maalim kachukua qur'wan na kumnuiza mtoto asiseme alichofanya anajua. Kweli waislamu hiyo ni sawa chuki za nini kwa watu wa dini nyingine?

Nilitegemea reaction kali kabisa kadri ya utetezi ambao huwa mnaonesha kuipenda dini yenu. Hapa mnachanganya jamii
 
Mahakama ya Wilaya ya Liwale, Lindi imemhukumu Mussa Chande kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Kawawa.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Liwale, Eric Ruhumbiza alimtia hatiani mshtakiwa kwa kosa hilo chini ya Kifungu namba 130 na 131 vya Sheria ya Makosa ya Kujamiiana (Sospa) ya mwaka 1998.

Ruhimbiza alisema Mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na upande wa mlalamikaji mahakamani hapo na kumtia hatiani pasi na shaka yoyote mshtakiwa kwani ushahidi uliotolewa na shahidi namba tano ambaye ni binti aliyebakwa ambaye alitoa maelezo ya maumbile na viungo vya siri vya mtuhumiwa ulitosheleza.

Awali, Mwendesha Mashitaka wa Polisi, PC Josephat alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Mei 8, mwaka huu saa nne asubuhi ndani ya Msikiti wa Kawawa, Liwale jirani kabisa na shule anayosomea mwanafunzi huyo.

Endelea Hapa
TEFLON TANZANIA: CONFIRMED: Aliyembaka Mtoto Msikitini Jela Miaka 30
 
Uislamu hauna tatizo kabisa,lakini wapo wafuasi baadhi ni washenzi,wala laana,wanautumia uislamu kufanya mambo ya ajabu
 
Uislamu hauna tatizo kabisa,lakini wapo wafuasi baadhi ni washenzi,wala laana,wanautumia uislamu kufanya mambo ya ajabu

Unawatukana waislam kuwa wamelaaniwa? Waislam wapole ni wachache sana na wengi wao wamezaliwa na wazazi wa dini moja isiyo ya uislam... ila wale pure huwa ni balaa wakiwasha moto.... hawaelezeki
 
Serikali ifungie misikiti kama waganga wa jadi walivyfutiwa vibali.
 
Mbagala mtoto kakojolea Quraan walipambama hasa mpaka kuharibu makanisa walilalama kua wamedhihakiwa wao na dini yao.

Mtoto kaingiliwa kinguvu tena ndani ya msikiti na kashikishwa Quraan ili asiseme kwa unyama aliofanyiwa na mwalimu wa madrasa wamekaa kimyaaaa hakuna ule wimbo wao wa mfumo kristo wala kuonewa na kudhalilishiwa dini yao.

Napata shaka ma tafsiri sahihi ya kudhihakiwa kwa Quraan na dini yao ya uislamu.
 
Back
Top Bottom