Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Hamis Mgeja, arejea CCM

Mwenye kumbukumbu wakati Mwenyekiti wa CCM (wasasa) anakabidhiwa na Mwenyekiti aliyemtangulia kuna mwanachama mmoja maarufu alirudi CCM, baada ya kupokelewa Mwenyekiti wasasa alimkaribisha kwa kumwambia "kwa Wasukuma Ng'ombe aliyewatoroka wenzake siku akirudi kundini wanamkata mkia!!!" Hivi alikuwa ni nani???
Atakua yule mbunge wa Sikonge kama sikosei Mhr. Kikumbi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa kuwa na wazee wajingawajinga km hawa ni hatarii sana.

Huku mtaani ni kugumu sana. Hakuwafai ma "softie". Ukimwona mama anasomesha na kulisha watoto kwa kazi ya kuuza maandazi na chapati au kijana ana mke na watoto kwa kazi ya kuuza madafu mpe heshima kubwa sana.

Miaka mitatu tu ma softie wamechemka!
 
Unataka abaki na nani huko Chadema? Huyo mtu hata maisha yake ya kila siku anamtegemea Lowassa yaani mtu kama huyo ni baba yako bora usiwe na baba ni aibu tupu.

Kuweka kumbukumbu sahihi, huyu alishastaafu siasa, alipotoka CHADEMA akabaki huru bila chama! Sasa hivi alivyorudi nyumbani, japo bila mkia, ametokea mtaani tu alikokuwa anazurura!!!!
 
Back
Top Bottom