Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Hamis Mgeja, arejea CCM

Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
5,446
2,000
.
 

Attachments

  • D09kKnzX4AA2EN4.jpg
    File size
    96.8 KB
    Views
    158

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,522
2,000
Ni Rahisi Regina Au Fred Lowassa kubaki Chadema Kuliko Hamis Mgeja kusalia Chadema wakati 'Boss Ruge' wake karudi CCM

Juzi tukiwa kijiweni pale kitumbini tulimuuliza utarudi akasema kwa uzee huu bora nistaafu!

Ila Huyu Mzee ndio Mfuasi Mwaminifu wa Lowassa wa Muda wote
Wengine walisubiri wakose vyeo ndio wamfuate Lowassa lakin Huyu alitema vyeo vyote ikiwemo Uenyekiti wa CCM Mkoa Shinyanga

Akina Bashe waligoma kumfuata

Hongera Mzee Mwenzangu Mgeja
 

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,238
2,000
Aliyekuwa kada maarufu wa CCM Hamis Mgeja aliyetimkia CHADEMA 2015 kumfuata Edward Lowassa amerejea CCM tena.

"Leo tarehe 6/03/2019 nmeondoka Chadema na sitawaunga mkono kwa chochote" Hamis Mgeja.

Pia amewaomba radhi Wanachama wa CwatarudishaCM, wananchi wa Shinyanga pamoja na Familia yake kwa hatua aliyoichukua awali ya kutoka CCM kwenda CHADEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watarudisha makundi ccm kueni macho wanaccm.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom