Aliyekuwa Mpenzi wangu analalia kitanda changu bila kuniomba akitadai aliuza chake

Mkiambiwa muishi nao kwa akili mnajifanya nyie ndio wakina penda penda hahahahaha mimi nakuambia ukome ili iwe fundisho na kwa wengine .......na hicho kitanda chako kuna wajanja wanambinulia hapohapo
 
Unacheka? Badala ya kumsaidia mdogo wako anadhulumiwa kitanda hivi hivi Hahaha

Ila wanawake sometimes wanakuaga na maudhi anaweza akakuvuruga yaan mpaka unashindwa uanzie wapi kulitatua hilo tatizo.

Sasa mtu kauza kitanda chake na chako alikua na matatizo Halafu unamkuta na chakwako anasema alinunua. Alijiuzia mwenyewe??

Jamaa jaap we potezea tu ndo kashajigaia marupu rupu ya we kumuacha kimya kimya
Hapo kauza chake na kakinunua tena cha jamaa ndio pananichekesha nyuzi zingine ni za kucheka tu na kuondoka
 
Wakati JK anastaafu walimu walibeba bango limeandikwa "SHEMEJI UNATUACHAJE?"....

Sasa huyo dada kaona asiulize anaachwaje bila maslahi, kajigaia tu Simpo hamna kelele kila mtu asonge mbele
 
Dada yupo vizurii
 
Sasa chumbani kwake ulifuata nini mpaka ukakiona kitanda?
Yeye aliniambia kupitia sim kwamba alipata matatzo kazin kwao kwaiyo akauza baadhi ya vitu vyake vya ndani na kitanda changu , kwakuwa Mimi nilikuwa namjua simkweli nilienda kumpa pole kwa yaliyo mtokea kazn kwake

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia

Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez miwil ikabid niende nyumban kwetu, Sasa baada ya kumaliza likizo mkoani kwetu nikarejea kazin kama kawaida wakati wote nipo likizo sikuwai kuwasiliana na huyo mpenz wangu

Kuna siku nikamtumia sms ya kumsalimia na kumtaarifu nakifuata kitanda changu nilicho kupa unihifadhie nashaanga ana nijibu alipata matatizo ak kiuza kitanda changu na baadhi ya vitu vyake, TV na kitanda chake

Cha kushangaza nimeenda kwake nimekikuta kitanda changu ndicho ana kitumia. Nikamuuliza mbona kitanda hiki ni changu yeye akasema amekinunua baada ya kuuza cha kwake na kakubali ata nilipa kitanda changu siku yoyote ile

Mimi nilisha muacha kimya kimya siyo mpenzi wangu. Naomben ushauri nitumie mbinu gani ili niweze kupata pesa au kitanda maana Mimi siku mpa Wala kumuhonga na yeye ana lifahamu ilo.

Daah! Broo! Pole Sana, nionavyo mie wewe unatatizo kubwa Zaidi ya kutapeliwa kitanda hicho.Tafadhali fanya upesi muone Mwana saikolojia. Huwezi kumuacha mtu kimyakimya ukampotezea mawasiliano alaf ukamuomba akuhifadhie mali zako. Huu ugumu wa Maisha utatudatisha wengi Sana aisee.
 
Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia

Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez miwil ikabid niende nyumban kwetu, Sasa baada ya kumaliza likizo mkoani kwetu nikarejea kazin kama kawaida wakati wote nipo likizo sikuwai kuwasiliana na huyo mpenz wangu

Kuna siku nikamtumia sms ya kumsalimia na kumtaarifu nakifuata kitanda changu nilicho kupa unihifadhie nashaanga ana nijibu alipata matatizo ak kiuza kitanda changu na baadhi ya vitu vyake, TV na kitanda chake

Cha kushangaza nimeenda kwake nimekikuta kitanda changu ndicho ana kitumia. Nikamuuliza mbona kitanda hiki ni changu yeye akasema amekinunua baada ya kuuza cha kwake na kakubali ata nilipa kitanda changu siku yoyote ile

Mimi nilisha muacha kimya kimya siyo mpenzi wangu. Naomben ushauri nitumie mbinu gani ili niweze kupata pesa au kitanda maana Mimi siku mpa Wala kumuhonga na yeye ana lifahamu ilo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mhmmm. Jf ina mambo mengi. Mwaka huu tutashuhudia na kusoma mengi... inaonyeshwa ww ndie ulieachwa kimya kimya. Kwanza ilikuaje hadi kufikia hapo. Kweli unampa paka samaki akulindie??? Kweli libwanta inafanya kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom