Aliyekuwa Mpenzi wangu analalia kitanda changu bila kuniomba akitadai aliuza chake

Mhmmm. Jf ina mambo mengi. Mwaka huu tutashuhudia na kusoma mengi... inaonyeshwa ww ndie ulieachwa kimya kimya. Kwanza ilikuaje hadi kufikia hapo. Kweli unampa paka samaki akulindie??? Kweli libwanta inafanya kazi.
Nilikiweka kwake kwa dhumun la kuja kukichukua badae kabla sijaenda kukukifata kitanda moyo wangu ukaanza kuto kumpenda Tena na Wala sikuwa na mpigia sim mpaka nilipo mtaarifu na fata kitanda changu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mlipe storage charges kwanza ndiyo udai kitanda.
Naamini hicho kitanda atakurudishia ila anataka ujiongeze
umlipe pesa ya kukutunzia kitanda muda wote huo.
Uwe makini wakati mwingine storage charge zaweza zid thamani ya kitu kilichokuwa
"stored".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom