Aliyekuwa Mpenzi wangu analalia kitanda changu bila kuniomba akitadai aliuza chake

Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia

Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez miwil ikabid niende nyumban kwetu, Sasa baada ya kumaliza likizo mkoani kwetu nikarejea kazin kama kawaida wakati wote nipo likizo sikuwai kuwasiliana na huyo mpenz wangu

Kuna siku nikamtumia sms ya kumsalimia na kumtaarifu nakifuata kitanda changu nilicho kupa unihifadhie nashaanga ana nijibu alipata matatizo ak kiuza kitanda changu na baadhi ya vitu vyake, TV na kitanda chake

Cha kushangaza nimeenda kwake nimekikuta kitanda changu ndicho ana kitumia. Nikamuuliza mbona kitanda hiki ni changu yeye akasema amekinunua baada ya kuuza cha kwake na kakubali ata nilipa kitanda changu siku yoyote ile

Mimi nilisha muacha kimya kimya siyo mpenzi wangu. Naomben ushauri nitumie mbinu gani ili niweze kupata pesa au kitanda maana Mimi siku mpa Wala kumuhonga na yeye ana lifahamu ilo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Nashauri asikupe chochote ili upate akili 2021.
 
Mkuu labda anajilipa na zile free P
 
ACHANA..na hichi kitanda... Endelea TU maisha yako...

Ulitakiwa ukichukue ndo umuache.
 
Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia

Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez miwil ikabid niende nyumban kwetu, Sasa baada ya kumaliza likizo mkoani kwetu nikarejea kazin kama kawaida wakati wote nipo likizo sikuwai kuwasiliana na huyo mpenz wangu

Kuna siku nikamtumia sms ya kumsalimia na kumtaarifu nakifuata kitanda changu nilicho kupa unihifadhie nashaanga ana nijibu alipata matatizo ak kiuza kitanda changu na baadhi ya vitu vyake, TV na kitanda chake

Cha kushangaza nimeenda kwake nimekikuta kitanda changu ndicho ana kitumia. Nikamuuliza mbona kitanda hiki ni changu yeye akasema amekinunua baada ya kuuza cha kwake na kakubali ata nilipa kitanda changu siku yoyote ile

Mimi nilisha muacha kimya kimya siyo mpenzi wangu. Naomben ushauri nitumie mbinu gani ili niweze kupata pesa au kitanda maana Mimi siku mpa Wala kumuhonga na yeye ana lifahamu ilo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app

Unacheka? Badala ya kumsaidia mdogo wako anadhulumiwa kitanda hivi hivi Hahaha

Ila wanawake sometimes wanakuaga na maudhi anaweza akakuvuruga yaan mpaka unashindwa uanzie wapi kulitatua hilo tatizo.

Sasa mtu kauza kitanda chake na chako alikua na matatizo Halafu unamkuta na chakwako anasema alinunua. Alijiuzia mwenyewe??

Jamaa jaap we potezea tu ndo kashajigaia marupu rupu ya we kumuacha kimya kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom