Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa mkewe

Status
Not open for further replies.

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Aliyekua mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba na Katibu Ikulu Ndogo ya Pemba Mh.Faki Dadi Faki amekutwa guest akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa , na inasemekana ni mtu na mpenzi wake.

Ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi (mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo) hayo yalifanyika katika hotel ya Excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji.
 
Hapo ndio wanawake huwa wananiacha hoi. Unakuta mwanamke anatukana kwa kutaja kiungo chake mwenyewe, yaani kakidunisha na kukiona kuwa ni tusi la kufaa zaidi kwa mbaya wake. Akitoka hapo atataka haki sawa na mwanaume wakati hata yeye anajidharau! Wanaume hata wapigane vipi, hutasikia wakitumia majina ya viungo vyao kama tusi.
 
Shahidi ni huyo mtoto ambaye mchezo wa kikubwa umemkolea, tutegemee nini mahakamani!
 
Aliekua mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba mh.Faki Dadi Faki amekutwa guest akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa mchana huu, na inasemekana ni mtu na mpenzi wake,

ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi (mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo) hayo yalifanyika katika hotel ya Excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji

Kwani mkuu kulikuwa na sababu gani kuipamba habari hii kwa kusema aliyekuwa mkuu wa mkoa kwann usingesema jina lake tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom