Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ahojiwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Ungeuliza kwanini nimesema hivyo Wewe Boya sawa? Tunaomjua huyo vyema alikuwa ni Team Lowassa na hakutaka hata CCM imteue huyu JPM.
Sasa wewe mbona unaleta ukali hapa jukwaani? Unadhani nani anaogopa huo ukali wako? Ebu kuwa mstaarabu basi
 
Vijana mjifunze kuwa haya madaraka yanamwisho wake na nidhamana tu,Gambo kiburi chote kile sijui anajisikiaje muda huu
 
Sawa Maalim
Ha ha ha ha Arusha Ina Mambo mengi....
Kweli yapo baadhi ya MAKOSA ya wateule wa rais ila mengine ni siasa zao ndani na nje ya chama. Nakukumbusha,unakumbuka kile kipindi mh.Mary Chatanda alipokuwa mtendaji wa chama huko?!

Zile figisu za kina GAMBO+MARY CHATANDA et al kwa upande mmoja halafu kina mh.James Ole Millya na WENZAKE upande mwingine!!
 
Hivi Arusha mjini kuna wazaramo ? hakuna mji wenye majungu na fitna kama Arusha
Alinizidisha nyodo...
Nyodo mpaka kwa Wananchi.....
Kwanini asimwige makonda licha ya mapungufu aliyonayo lkn ukimfata anaweza kukusikiliza, gambo hiyo hana

Ova
 
Makazi rasmi ya mkuu wa mkoa hayapo ikulu ndogo Jamhuri mnapotosha.
 
Hivi Arusha mjini kuna wazaramo ? hakuna mji wenye majungu na fitna kama Arusha
Unamaanisha wazaramo ndio noma Kwa fitna na majungu!!! Fitna na majungu Ni hulka ya mtu haijalish rangi ,kabila, jinsia au maumbile.
 
Sijapenda mtoa mada hata hujui uko jukwaa gani humu hakuna kuficha ficha watuhumiwa ! umeniboa sana kuna sehemu nyingi unaandika na kuficha ficha majina na wahusika si bora ungeenda kuitisha kikao cha familia uwaeleze majungu yako kwa Gambo? acheni wivu enyi wabongo wenzangu!! hivi Arusha mmekuwaje mmeharibu mji wa wajanja!
Kama sijakosea chanzo chake Ni gazet ambalo alilitaja mwanzo inawezekana kwenye chanzo hakujawekwa majina.
 
Gambo au Lema hawa ndiyo watakua na ushindani mkubwa kwenye ubunge wa Arusha mjini.
Lema anamuhofia Gambo na Gambo anamuhofia Lema. Na wanao taka kugombea kupitia ccm wanamuhofia Gambo. Kwa hiyo Gambo anapata mizengwe kutoka kwa wanaotaka kugombea kupitia ccm na kutoka kwa Lema. Sasa hivi tutaona machafu mengi ya Gambo
Kwa hiyo TAKUKURU nao wanautaka ubunge wa Arusha?
 
CCM ndiye baba wa fitna na majungu.
Hivi Kuna majungu km Yale waliopigwa kina lijuakali pale Dodoma?
Chama kinachojiita Cha kidemokrasia kinawafukuza WAWAKILISHI wa WANANCHI...kwa kuwatumia MESEJI ZA Whatsup kupitia mh.Bulaya...

Hawakuonywa
Hawakuandikiwa barua
Hawakupewa muda wa kujieleza.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom