Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ahojiwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Ndiyo kabisa ,halafu arusha hakuna wazaramo huyo gambo ndo mzaramo,wazaramo ni noma si uliona Jaffo alimsuta mkandarasi hadi akazimia mbele ya kamera
Kwaiyo ndio ufute unachokiamini, kwamba wazaramo ndio wenye majungu na fitna kwa kiwango cha nyota tano.
 
Hiyo jela alienda kwa uboya wake na chadema ilimpigania akatoka,wanasheria wa chadema ndo wamemhangaikia kwa hali na mali
KWENDA jela kwa aliyekuwa mwanachadema LIJUALIKALI kulikuwa ni kwa "uboya wake"....

Je alipoenda Mbowe,Mdee,Bulaya,Lema et al,je ni pia kwa "uboya wao"?!!
 
Ndiyo kabisa ,halafu arusha hakuna wazaramo huyo gambo ndo mzaramo,wazaramo ni noma si uliona Jaffo alimsuta mkandarasi hadi akazimia mbele ya kamera
Wewe utakuwa ni walewale wenye vimelea vya UBAGUZI wa makabila...
Vilianza kwa wale VIJANA wenzetu WALIOSEMA RAIS HAWEZI TOKA KASKAZINI....NI upacha mmoja TU!!!
 
Dah!...ina maana ndoto zake za ubunge wa Arusha mjini ndio zimeshazikwa?..
 
Gambo au Lema hawa ndiyo watakua na ushindani mkubwa kwenye ubunge wa Arusha mjini.

Lema anamuhofia Gambo na Gambo anamuhofia Lema. Na wanao taka kugombea kupitia ccm wanamuhofia Gambo. Kwa hiyo Gambo anapata mizengwe kutoka kwa wanaotaka kugombea kupitia ccm na kutoka kwa Lema. Sasa hivi tutaona machafu mengi ya Gambo
Huwenda Gambo alijisahau na kutamani cha mbele akasahau kushika alichonacho. Kwa issue ya maji na barabara kwa kweli Gambo alipambania sana wana wa kata ya Murieti sasa sijui kwa sababu na yeys anaishi kule?

la wa kazi wa Muriet wanamkubali sana nilitoka huko mwaka jana kwa kweli Gambo alisimamia vizuri fedha za serikali kwenye ujenzi wa barabara na usambazaji wa maji kwenye kata ya Muriet.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom