Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama.
Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha Magufuli, Dr. Wilson Mahera Charles anagombea Ubunge wa CCM
Dkt Wilson Mahera Charles aliteuliwa October 1, 2019 na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi (NEC) na baadaye Februari 26, 2023 aliteuliwa na Rais Samia kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Video Dkt. Mahera akiwa Mkurugenzi wa NEC