NA NYUMBA ZA SERIKALI.Asichelewe kumkamata naalie nunua
Kivuko kibovu
NZURI NZURII NZURI PESAAA!!!!Rambi rambi za tetemeko ziko wapi ?
Wanaopewa madaraka wataogopa kuchezea pesa za umma na kutumia vibaya madaraka yao.Kukamatwa kwa Mchechu na kusaidia wanyonge inaendana vipi? Au kukamatwa kwa Mchechu, wanyonge wanapata chakula?
Ni wakati muafaka wa kurudisha utaratibu uliokuwa unazuia watumishi wa uma kujihusisha na biashara.wakati wa mwalimu ilikuwa si rahisi mtumishi wa uma kumiliki Mali na kufanya biashara.kuna uwezekano mkubwa sana wa mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma tena mfanyabiashara.ni mara nyingi tunaona kiongozi wa umma anafungua kampuni nayo inashindishwa kwenye tenda ambayo inafanyika chini ya uangalizi wa mhusika. Dawa Ni kuchagua moja either uwe mtumishi wa umma au mfanyabiashara na sio vyote kwa wakati mmojaTuachie mamlaka zifanyie kazi.
Lakini pia Serikali na taasisi zake ianze kuajili watumishi kwa mkataba wa muda maalumu.
Miradi mikubwa ya Serikali isifanywe na Serikali yenyewe, wapewe local contractors and consultants na wathibitishwe pasipo shaka kuwa hawana connections yoyote na Serikali zaidi ya kulipa kodi.
Kama imebainika kuwa NHC wanajifanzia kazi zao wenyewe, vipi kuhusu wakala na taasisi nyingine.?
Tunakoenda uwenda operation safisha na tumbua tumbua ikahamia Wizara ya Ujenzi na Ardhi kwani wizara hizi ni pacha wanaofanana.
asante sana .... nikutakie mwaka mpya mwemaKAMWE SIWEZI KUMWOMBEA MTU MWENYE HAKI ANAYETAWALA KWA SHERIA HUKU AKIONGOZWA NA KATIBA BALI HUWA NAMWOMBEA MWOVU ILI AACHE WOVU WAKE.
Wanaopewa madaraka wataogopa kuchezea pesa za umma na kutumia vibaya madaraka yao.
Tindo, usd 2,000/- ni nyingi na unaweza kujihisi fisadi, wewe u mtakatifu!Mkuu hizo nyingi mimi hata $1,000@month za halali kwangu tosha. Tena naweza kujihisi ni fisadi.
Excellent.Ni wakati muafaka wa kurudisha utaratibu uliokuwa unazuia watumishi wa uma kujihusisha na biashara.wakati wa mwalimu ilikuwa si rahisi mtumishi wa uma kumiliki Mali na kufanya biashara.kuna uwezekano mkubwa sana wa mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma tena mfanyabiashara.ni mara nyingi tunaona kiongozi wa umma anafungua kampuni nayo inashindishwa kwenye tenda ambayo inafanyika chini ya uangalizi wa mhusika. Dawa Ni kuchagua moja either uwe mtumishi wa umma au mfanyabiashara na sio vyote kwa wakati mmoja
Nadhani ni sahihi. Utolewe Waraka ili mtu achague moja,kuwa mtumishi au mjasilia mali.Ni wakati muafaka wa kurudisha utaratibu uliokuwa unazuia watumishi wa uma kujihusisha na biashara.wakati wa mwalimu ilikuwa si rahisi mtumishi wa uma kumiliki Mali na kufanya biashara.kuna uwezekano mkubwa sana wa mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma tena mfanyabiashara.ni mara nyingi tunaona kiongozi wa umma anafungua kampuni nayo inashindishwa kwenye tenda ambayo inafanyika chini ya uangalizi wa mhusika. Dawa Ni kuchagua moja either uwe mtumishi wa umma au mfanyabiashara na sio vyote kwa wakati mmoja
Maendeleo hayawezi kuja bila Siasa safi, Uongozi bora isiyoonea watu. Maendeleo hayawezi kuja bila kuwa na UHURU wa kuongea na kujadiliana. Maendeleo hayawezi kuja kwa Msechu kuitwa Takukuru na baada ya mahojiano atakuwa huru. BILA DEMOKRASIA KATIKA UTAWALA AS MAGUFULI SAHAU MAENDELEO. SANA SANA MTALIA NA KUSAGA MENO. TENA KUFA SO MREFU MTAMLAUMU MAGUFULI KULIKO MARAIS WOTE WALIOPITA.Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Tatizo kubwa kwa vijana litakuwa ni hilo.Nadhani ni sahihi. Utolewe Waraka ili mtu achague moja,kuwa mtumishi au mjasilia mali.