Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Takukuru mimi niko upande wenu kama mnautaka ushahidi. Aliwahi kunipigia simu na kunitukana. Kwa vile tu sikukubaliana na wazo la sisi wapangaji kulipia huduma za walinzi, maji chumvi, umeme wa Tanesco na wafanya usafi humu Golden Plaza katika US dollar, akishirikiana na Bw. BHAVESHI. ilikuwa 2012. Na aliahidi kunifukuza iwapo nisingelipa. Ukweli sikulipa na hakudhubutu kunifukuza. Ila waoga wanalipa hadi leo.
 
Jana nikileta taarifa za Msechu kupandishwa kortini kwa makosa ya ubadhirifu, uhujumu uchumi Na kutakasa pesa lakini mod mmoja mpumbavu akaondoa Uzi wangu jukwaani
 
Tuachie mamlaka zifanyie kazi.
Lakini pia Serikali na taasisi zake ianze kuajili watumishi kwa mkataba wa muda maalumu.
Miradi mikubwa ya Serikali isifanywe na Serikali yenyewe, wapewe local contractors and consultants na wathibitishwe pasipo shaka kuwa hawana connections yoyote na Serikali zaidi ya kulipa kodi.
Kama imebainika kuwa NHC wanajifanzia kazi zao wenyewe, vipi kuhusu wakala na taasisi nyingine.?
Tunakoenda uwenda operation safisha na tumbua tumbua ikahamia Wizara ya Ujenzi na Ardhi kwani wizara hizi ni pacha wanaofanana.
Ni wakati muafaka wa kurudisha utaratibu uliokuwa unazuia watumishi wa uma kujihusisha na biashara.wakati wa mwalimu ilikuwa si rahisi mtumishi wa uma kumiliki Mali na kufanya biashara.kuna uwezekano mkubwa sana wa mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma tena mfanyabiashara.ni mara nyingi tunaona kiongozi wa umma anafungua kampuni nayo inashindishwa kwenye tenda ambayo inafanyika chini ya uangalizi wa mhusika. Dawa Ni kuchagua moja either uwe mtumishi wa umma au mfanyabiashara na sio vyote kwa wakati mmoja
 
watu wote ambao wanajua kwamba walikuwa/ ni mafisadi mpaka sasa, ni muda mwafaka kabisa wa kurudisha kile ambacho hakikuwa halali yenu bila shuruti, maana upanga ukikufikia kazi utapoteza pamoja na kutaifishwa mali zako.
 
Takukuru mimi niko upande wenu kama mnautaka ushahidi. Aliwahi kunipigia simu na kunitukana. Kwa vile tu sikukubaliana na wazo la sisi wapangaji kulipia huduma za walinzi, maji chumvi, umeme wa Tanesco na wafanya usafi humu Golden Plaza katika US dollar, akishirikiana na Bw. BHAVESHI. ilikuwa 2012. Na aliahidi kunifukuza iwapo nisingelipa. Ukweli sikulipa na hakudhubutu kunifukuza. Ila waoga wanalipa hadi leo.
 
Ni wakati muafaka wa kurudisha utaratibu uliokuwa unazuia watumishi wa uma kujihusisha na biashara.wakati wa mwalimu ilikuwa si rahisi mtumishi wa uma kumiliki Mali na kufanya biashara.kuna uwezekano mkubwa sana wa mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma tena mfanyabiashara.ni mara nyingi tunaona kiongozi wa umma anafungua kampuni nayo inashindishwa kwenye tenda ambayo inafanyika chini ya uangalizi wa mhusika. Dawa Ni kuchagua moja either uwe mtumishi wa umma au mfanyabiashara na sio vyote kwa wakati mmoja
Excellent.
 
Nadhani ni sahihi. Utolewe Waraka ili mtu achague moja,kuwa mtumishi au mjasilia mali.
 
Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Maendeleo hayawezi kuja bila Siasa safi, Uongozi bora isiyoonea watu. Maendeleo hayawezi kuja bila kuwa na UHURU wa kuongea na kujadiliana. Maendeleo hayawezi kuja kwa Msechu kuitwa Takukuru na baada ya mahojiano atakuwa huru. BILA DEMOKRASIA KATIKA UTAWALA AS MAGUFULI SAHAU MAENDELEO. SANA SANA MTALIA NA KUSAGA MENO. TENA KUFA SO MREFU MTAMLAUMU MAGUFULI KULIKO MARAIS WOTE WALIOPITA.
 
Alafu leo pale kanisani tangi bovu kkt walitangaza msiba wa Mama yake mlezi leo
Kuna jamaa yangu anasali pale ndy kanitonyaaa

Ova
 
Status
Not open for further replies.
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom