GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Anadai alipotea njia na sasa yuko nyumbani. . . . . Upupu dot com ! Ccm kweli inamfaa kwakua anafanana nao hata kwa mtazamo.
Kama kampuni ndivyo alivyosema huyu muandishi ni mshabiki wa kampuni yenu.Eti Chadema inaendeshwa kama taasisi na si chama. ...KARUMEKENGE KATIKA RANGI ZAKE !Anastahili kutoka Cdm kama hajui kuwa Chama ni taasisi. . !Viva Cdm
nipo kwenye daladala hapa nacheekaEti Chadema inaendeshwa kama taasisi na si chama. ...KARUMEKENGE KATIKA RANGI ZAKE !Anastahili kutoka Cdm kama hajui kuwa Chama ni taasisi. . !Viva Cdm
Breaking News: PIGO CHADEMA MARA
Angalia alijiunga lini? na Nape yuko busy na vijanawake kwenye mitandao ya jamii
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.
Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani
- CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
- Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
- Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
More UP DATE to follow
CCM hakuna makundi ila kuna vyama mabalimbali vikiongozwa na kile kikubwa cha ufisadi.Kakimbia makundi Cdm, kwakua ccm haina kundi ! Hahaah akili zake ziko rojo, anastahili kuungana na vilaza wenzake Ccm.
hilo la kampuni umesema wewe ! Mleta thread kasema , Jamaa anasema Cdm inaongozwa kama taasisi ! Usidandie train.Kama kampuni ndivyo alivyosema huyu muandishi ni mshabiki wa kampuni yenu.
Kama kampuni ndivyo alivyosema huyu muandishi ni mshabiki wa kampuni yenu.
Uhuru una maana nyingi sana.......leteni updates