Aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro atuhumiwa kuhusika na ufisadi wa kutisha

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004
Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro

===

Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu;

1. Sisi kama macho ya Serikali tunapaswa kuelewa kila kinachoendelea na kuueleza umma.

2. Sisi kama viongozi wa jamii tunaoongoza chombo cha baraza la wafugaji wananchi wetu wamepatwa na adha kubwa ya kushindwa kwenda shule baada ya kupitishwa baraza la wafugaji na uongozi uliofuatia haukuonesha nia ya kuendeleza Watoto wa wafugaji walioko Ngorongoro.

3. Hali inayoendelea katika mradi wa uhamaji kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Msomera Tanga, mradi ambao umeonekana unawanufaisha watu wachache.

Kwa kipindi cha muda mfupi wa utawala wa aliyekuwa Kamishna Bw. Richard Kiiza fedha za taasisi zimechotwa na Wasaidizi wake ambao inasemekana alikuja nao kutoka TANAPA na kuwaweka Idara ya Ulinzi na Intelijensia ambapo ndio imekuwa uchochoro wa kupitishia pesa kwa kisingizio kuwa zinaenda kufanya kazi maalum na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa maagizo ya Mh. Rais

Kwa kipindi kifupi chini wa uongozi wa Kamishna huyu mambo kadhaa yamejitokeza;

Yeye na wasaidizi wake wamefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha na kuendelea kuwanyanyapaa wenyeji wa Ngorongoro na kuwatisha kwa kuwaambia Serikali inakusudia kuwaondoa kwa nguvu na kupelekwa Msovera na kwamba zoezi la uhamaji kwa huyari ni kiini macho tu, pia Watumishi wenyeji wamekuwa wakikumbana na unyanyasaji ambapo wamekuwa wakitishwa na kuambiwa kwamba wasipojiandikisha wataondelewa kwa nguvu na kupoteza ajira zao.

Ubadhirifu ambao umesababishwa na Richard Kiiza; Kila jambo linasomwa hapa sio propaganda, lina uthibitisho na kundi la bwana Kiiza litakalotajwa hapa litakuwa na wasiwasi basi waende Mahakamani

1. Matumizi mabaya ya fedha kwa kisingizio kuwa wanawalipa wafugaji wanaohama kwa hiyari kwenda Msovera. Fedha hizo zimegawanya kwa mfumo wa Masurufu Imprest kwa Watu wanaojipambanua kama Team Msomera pamoja kutumia magari ya Watu binafsi kuwahamisha watu bila kufuata taratibu na manunuzi, mfano. Magari ya kubeba mifugo, mizigo na mabasi.

Mradi huu una mtandao mkubwa kuanzi kwa wanaohamasisha, wanaoandikisha, wanaofanya tathmini, wanaolipa na wanaosafirisha mizigo, mifugo na watu ikiwemo baadhi ya wahifadhi kuwa na magari yao na wengine kuwa na mawasiliano ya karibu na watu wenye gesti wilayani Karatu zilizokuwa zinatumika kuwalaza watu wanaohama.

Hivi karibuni aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi alifanya mkutano na Waandishi wa Habari Dar, alipoulizwa juu ya kiasi cha fedha zilizotumika kwenye mradi huu alishindwa kutoa jibu. Hii inaonesha zoezi hili limegubikwa na ubadhirifu wa fedha za umma.

2. Kukatishwa kwa ufadhili wa watoto wa wenyeji Tarafa ya Ngorongoro.

Kwa taarifa za Serikali, tayari Kaya 1147 (takribani watu 7,000) wamehama, ieleweke Ngorongoro ilikuwa na Kaya 23,000 cha ajabu Watu hawa wamenza kusimamiwa kulipia huduma nyingi ikiwemo huduma ambayo ni jukumu la Hifadhi ya Ngorongoro.

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imekuwa ikiwafadhili Watoto wa wenyeji wanaotoka katika familia ambazo hazina uwezo kupitia baraza la wafugaji.

Baada ya utawala wa aliyekuwa Kamishna watoto wapya wapatao 154 wa vyuo vya kati, vyuo vikuu wamenyimwa mahitaji yao ikiwemo kulipiwa adana matumizi.

Hii imesababisha asilimia kubwa ya Watoto hasa wa kike kuacha masomo na wengine kuzurura mijini, jambo lilosababishwa na matumizi mabaya ya fedha zilizokwenda mifukoni mwa watu binafsi na kushindwa kukidhi mahitaji ya kufadhili Wanafunzi.

Ofisi yenye jukumu la kusaidia kusimamia maendeleo ya jamii ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongporo inashiriki kuhujumu mradi huu wa elimu ambao ndio mradi pekee kwa wenyeji wa Ngorongoro.

3. Uchotaji wa fedha za shirika bila kuzingatia taratibu za kifedha. Kuanzia tar 1/10/2023 hadi tarehe 2/2/2024 pesa zilizochotwa na bwana Kiiza kwa mutumia baadhi ya watu ni Tsh Milioni 945.

Screenshot 2024-04-01 135719.png
Screenshot 2024-04-01 135821.png

Wanaotuhumiwa na ubadhirifu huu ni (kuna orodha ya watu 52 sio hawa pekee):
  • Ally Iddi Lengikiye – Meneja wa Idara ya Intelijensia alichukua tsh. Milioni 150 tar 1/3/2024
  • Edward Mlela – Alichukua Milioni 30 tar 10/11/2023
  • Aloyce Mtui – Alichukua Milioni 75 tar 11/11/2023
  • Faston Mtondo Ndegea – Alichukua milioni 55 tar 25/11/2023
Fedha ziliendelea kuchotwa bila kufuata kanuni wala utaratibu za kifedha ambapo feza zilizochukuliwa kwa njia ya Masurufu Imprest kuanzia October hadi Machi ni bilioni 1.668.

4. Bwana Kiiza alipokuja alikuwa ana aina ya maisha ya aina yake, amekuwa na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kukodisha ndege kwa kisingizio kuwa inatumika kwaajili shughuli za taasisi wakati sio kweli (amekuwa akitumia ndege kwa safari zake za Zanzibar, Dar, Bukoba).

Tar 24/20/2023 zilichotwa Tsh. Milioni 15 kwaajili ya ndege, 22/11/2023 ilichotwa Tsh. Milioni 14, tar 28/11/2023 zilichotwa Tsh. Milioni 30 nyingine, na Tar 2/12/2023 ilichotwa Tsh. Milioni 100 (Milioni 159 zikawa zimetumiwa ndani ya kipindi hicho na bwana Kiiza)

5. Mhifadhi wa Ngorongoro kulala hoteli ya kitalii kwa gharama ya Tsh. Milioni 400 kwa muda wa miezi mitatu.

Analala hoteli moja inayoitwa Member of Gran Melia zamani ilikuwa inaitwa WildLife, mtu huyu kwa siku anatumia Dola 1250 ambayo ni zaidi ya Tsh. Milioni 3 na kwa muda miezi mitatu aliyokaa pale ametumia Tsh. Milioni 400 bila kuzingatia kuwa kumekuwepo na uwezo wa yeye kuishi kwenye nyumba aliyokuwa anaishi mtangulizi wake au kutafuta hoteli za gharama nafuu, kwani fedha hiyo aliyotumia ingeweza kusomesha wanafunzi wapatao 154.

6. Kudhibiti shughuli za kimila (kiutamaduni, kiuchumi na kuzuia wenyeji wa ngorongoro kwenda nyumbani)

Kunyimwa kuingia pale na kurukishwa kichura ni jambo la kawaida, kurudishwa watu getini ni jambo la kawaida kuelekea Karatu. Mimi binafsi mtoto wangu binafsi alinyimwa kuingia Ngorongoro kwakuwa hakuwa na utambulisho japo anajulikana ni mtu kutoka Ngorongoro, wengine walijitolea kulipa lakini imeshindikana.

Sisi tunasema kila mara hatupingani na zoezi la serikali, na nia ya Rais inaweza ikawa ni njema kabisa lakini nia ya wanaume waliomzunguka, nadiriki kusema wanamdanganya mama.

Tumekuwa tukikaa na wanayama hawa muda mrefu, tukiwafuga muda mrefu nab ado tunataka kuendelea kuishi nao, tuachieni tuangalie Wanyama wetu. Tunachotakiwa kupanga ni kwamba miaka 100, 200 inayokuja tunakwenda wapi? Ngorongoro inakwenda wapi? Sio ututenge!

Edward Maura – Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji
Kwa mujibu wa Katiba na Tanzania kila mtu ni mlinzi wa rasilimali za nchi hii, bila kujali umetokea wapi. Pamoja ya kuwa na serikali na watu wengi wanaweza kuchukua tafsiri kwamba tunasema hivi kwasababu tunapingana na watu kwenda Msomera. Suala la watu kwenda Msomera ni ajenda tofauti na ubadhirifu wa mali za umma ni ajenda nyingine tofauti.

Pamoja na kuwa zoezi la kuwapeleka watu bado linaendelea na liendelee tu, sisi ambao tuko ndani tutaendelea kukemea kwa namna yoyote yule ambaye anatumia rasilimali zetu, kodi yetu wapiga kura vibaya kwa kigezo cha wapiga kura.

Waandishi wa habari mmeuliza hizi taarifa mna uhakika nazo, mimi nimetoa taarifa, ni jukumu la serikali kwenda kuchunguza kama hiyo taarifa ina ukweli au haina ukweli, tmesema tarehe, takwimu, tumesema cheque number na benki iliyotumika. Tumewarahisishia vyombo vyetu vikachunguze.

Lakini wakati tunasema haya kuna matatu naomba niongeze yakumbukwe;
  • Tumemaliza taarifa ya ubadhirifu tunapanga kuja na taarifa ya matumizi mabaya ya uwekezaji ya utalii katika eneo la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Lengo laserikali kuwatoa watu ilikuwa ni kwaajili ya kufanya conservation, tunafanya conservation lakini kuna uwekezaji mkubwa unaendelea kwenye lile eneo bila kuangalia wanawekeza kwenye eneo gani, bila kuangalia eneo lina umuhimu gani kiikolojia, pia hata taratibu za uwekezaji zinaoendelea pale na kwenyewe kuna ubadhirifu, tunakuja na hili la utalii.

  • Inanishangaza sana kuona mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro inafanya ubadhirifu namna hii na bodi ya mamlaka ya hifadhi badi ipo. Jukumu kubwa la bodi ni ni kuhakikisha kwamba wasimamia uongozi, rasilimali, haki ya wafanyakazi na mjukumu ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro yanatekelezwa ipasavyo. Wakati ubadhirifu wote huu ukifanyika kabla Rais hajafanya utenguzi wa bwana Kiiza bodi ya mamlaka hifadhi ya Ngorongoro mmetekeleza wajibu gani.

  • Kwa mujibu wa muundo wa mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Rais ana mammlaka kwa Muhifadhi lakini mwenye mamlaka na wasaidizi wake ni Waziri. Nashngaa mpaka leo wakina Mjema (Kaimu Mhifadhi Msaidizi kwenye mambo ya operation) ambao wanatajwa ndiowanakwamisha wataalamu wetu wasiende kupima sampuli za faru, tembo, nk kwa kigezo kwamba hakuna fedha ili aweze kuwakingia wenzake, bado yuko ofisini! Na ni jukumu la Waziri wa Maliasili kuchukua hatua kwa watu wa namna hiyo.
Kwenye utawala bora kuna kitu wanasema “UWAJIBIKAJI” ambao una nguzo tatu; Kuwajibika, Kuwajibishwa, au ujiwajibishe. Waziri wa maliasili anatakiwa kupima mambo haya matatu.

Tunasema haya kwa msisitizo, tumekuwa tunatishiwa sana kuzungumza na vyombo vya habari kila siku, tunatumia uhuru wetu, HATUTANYAMAZISHWA KAMWE wakati mambo yanapiga kelele! Ukienda leo ukiwakuta wafanyakazi wa mamlaka ya uhifadhi ya Ngorongoro wanalia machozi! Anateuliwa mhifadhi kuja Ngorongoro anakuja na kundi la watu wake, lakini amewakuta watu 400-500 wameipigania Ngorongoro na kuilinda unakuja kuwanyima stahiki zao za msingi!

Kulikuwa na kitu kinaitwa Geas, iliaznishwa muda mrefu na Ngorongoro wakaja kuweka mfumo mzuri wa kuendesha mfumo wao, walikuwa na sheli yao, lakini ghafla mtu mmoja anakuja kusimamisha na kuipa kampuni ya Puma.

Unamnyima mtoto wangu kwenda shule halafu wewe unachota hela unategemea nisikuseme kwenye vyombo vya habari? Nitakusema asubuhi, mchana na jioni

Thomas Mtweti – Mwenyekiti wa Kijiji
Yote yanayosemwa ni kweli kabisa. Watu wanaendelea kunyanyasika, mfano tae 23/3/2024 kuna geti la Opiro ambalo linaunganisha kata ya Eyasi na Kata ya Endule, huwa tunachukua ngo’ombe kutoka Endule kupeleka mnada wa Eyasi Mang’ola Sasa wakati wa kurudusha ng’ombe askari wa mamlaka wa geti la Opiro wanakataza kabisa kurudisha ng’ombe wasiopata bei.

Mfano tarehe hiyo kuna mfungaji alipeleka ng’ombe 5, akauza 2 akarudisha watatu, askari wakamfukuza na gari mpaka ng’ombe wakapotea, lakini kwa sasa wanashikilia ng’ombe 1 mpaka tunavyoongea, ambapo wanadai 230,600 ili waweze kuachia ng’ombe.

Ni lini utaratibu kuwa na kibali ndio uweze kuingiza kitu ngorongoro uliwekwa? Kama waliamua wao wenyewe kwanini hawajatuma taarifa ya kimaandishi ofisi ya Kijiji ili tuweze kuongea na watu wetu? Huu ni nyanyasaji mkubwa.

Tar 25/3/2024 kuna vijana walikamatwa kwenye Kijiji changu kuwa wamepitisha muda wa kufunga shughuli zao ndani ya hifadhi (muda was aa nne biashara zinafungwa), vijana walikuwa wamefunga biashawa wakawa wamekaa ndani wanafanya mahesabu, askari wakawavamia na kuwakamata, sasa hivi tunavyozungumza wamepelekwa mahakamani Ngorongoro ambapo wamedhaminiwa iliwarudi mahakamani (kesho yake).

Kuna taarifa kwamba kuna shule inayotaka kuhamishwa kupelekwa tarafa ya loliondo, shule ambayo tulichangia rasilimali na nguvu kazi mpaka shule ikajengwa, kama ni kwli hili linataka kufanyika tunamuomba Rais, kwakuwa kuna watu wanaohama kwa hiyari, wanaobaki wapate haki zao.

Kwenye suala la geti mimi nina watu wawili ambao wana vibali kupitia ofisi yangu na mtendaji amegonga muhuri ieleweke ni mwanakijiji lakini bado wakakataliwa na wakaenda kulipia ndio wakaruhusiwa kupita. Sasa kama nyaraka za serikali ya Kijiji haziaminiki ni wapi tutapata uaminifu wa kuaminika?

Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu;
Ukiona diwani toka chama tawala ccm analalamika kuhusu ufisadi ujue kapata mgawo kidogo kuliko aliooahidiwa.

Yaani fisadi diwani kazidiwa ujanja na mafisadi wengine.
 
CAG AENDE UKO
 
Umesoma makala yote!?,Kuna watu mpo very NEGATIVE kwenye kila kitu na mnapenda sana generalization. Unawajua wamasai vizuri!?,wamasai wamenyooka awe CDM au CCM, na kama ungesoma maelezo yote usingeandika huu utumbo ulioandika. Kuna wakati baadhi ya member humu mnakuwa wakurupukaji kwenye kila kitu.
 
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao..........!!!
 
Umesoma makala yote!?,Kuna watu mpo very NEGATIVE kwenye kila kitu na mnapenda sana generalization. Unawajua wamasai vizuri!?,wamasai wamenyooka awe CDM au CCM, na kama ungesoma maelezo yote usingeandika huu utumbo ulioandika. Kuna wakati baadhi ya member humu mnakuwa wakurupukaji kwenye kila kitu.
Yeye kama sehemu ya uongozi wa serikali ya chama tawala na kama mwakiloshi wa wananchi alikuwa wapi kuyazuia yote hayo yasitokee kwa kipindi chote hicho?

Huyu diwani ni mhuni kama wahuni wengine tu. Kanyimwa mgawo ndiyo maana hivi Sasa anakuja na ngonjera za kuwasemea wananchi.

Alipaswa kuweka Utaratibu mzuri wa malipo na matumizi ya pesa na namna ya utoaji wake kutoka kwenye akaunti. Mtu mmoja anachotaje 30M ? Hizo fedha ziliwekwa akaunti binafsi?

Aache ujinga huyo diwani??
 
Bado nakuuliza umesoma mada nzima!?,unaona kwa level yake kuna ambalo angeweza kuzuia hapo?,unajua ni nguvu kiasi gani na pesa vimetumika kwenye kuwahamisha masai Ngorongoro!?, kwahiyo uliloliona ni yeye kukosa mgao tu!?,huna mchango zaidi ya hapo!?,..,huna mchango wowote +ve!?,k.enge maji wewe..
 
Kama anajua nguvu iliyotumika kuwahamisha wamasai ilimzidi uwezo sasa kaipata wapi nguvu ya ziada ya kuilamu nguvu hiyo kubwa aliyoiogopa mwanza?

Huyu ni mhuni, na kama ni wewe mwenyewe basi ni mhuni pia.
 
Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro

===

Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu;

1. Sisi kama macho ya Serikali tunapaswa kuelewa kila kinachoendelea na kuueleza umma.

2. Sisi kama viongozi wa jamii tunaoongoza chombo cha baraza la wafugaji wananchi wetu wamepatwa na adha kubwa ya kushindwa kwenda shule baada ya kupitishwa baraza la wafugaji na uongozi uliofuatia haukuonesha nia ya kuendeleza Watoto wa wafugaji walioko Ngorongoro.

3. Hali inayoendelea katika mradi wa uhamaji kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Msomera Tanga, mradi ambao umeonekana unawanufaisha watu wachache.

Kwa kipindi cha muda mfupi wa utawala wa aliyekuwa Kamishna Bw. Richard Kiiza fedha za taasisi zimechotwa na Wasaidizi wake ambao inasemekana alikuja nao kutoka TANAPA na kuwaweka Idara ya Ulinzi na Intelijensia ambapo ndio imekuwa uchochoro wa kupitishia pesa kwa kisingizio kuwa zinaenda kufanya kazi maalum na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa maagizo ya Mh. Rais

Kwa kipindi kifupi chini wa uongozi wa Kamishna huyu mambo kadhaa yamejitokeza;

Yeye na wasaidizi wake wamefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha na kuendelea kuwanyanyapaa wenyeji wa Ngorongoro na kuwatisha kwa kuwaambia Serikali inakusudia kuwaondoa kwa nguvu na kupelekwa Msovera na kwamba zoezi la uhamaji kwa huyari ni kiini macho tu, pia Watumishi wenyeji wamekuwa wakikumbana na unyanyasaji ambapo wamekuwa wakitishwa na kuambiwa kwamba wasipojiandikisha wataondelewa kwa nguvu na kupoteza ajira zao.

Ubadhirifu ambao umesababishwa na Richard Kiiza; Kila jambo linasomwa hapa sio propaganda, lina uthibitisho na kundi la bwana Kiiza litakalotajwa hapa litakuwa na wasiwasi basi waende Mahakamani

1. Matumizi mabaya ya fedha kwa kisingizio kuwa wanawalipa wafugaji wanaohama kwa hiyari kwenda Msovera. Fedha hizo zimegawanya kwa mfumo wa Masurufu Imprest kwa Watu wanaojipambanua kama Team Msomera pamoja kutumia magari ya Watu binafsi kuwahamisha watu bila kufuata taratibu na manunuzi, mfano. Magari ya kubeba mifugo, mizigo na mabasi.

Mradi huu una mtandao mkubwa kuanzi kwa wanaohamasisha, wanaoandikisha, wanaofanya tathmini, wanaolipa na wanaosafirisha mizigo, mifugo na watu ikiwemo baadhi ya wahifadhi kuwa na magari yao na wengine kuwa na mawasiliano ya karibu na watu wenye gesti wilayani Karatu zilizokuwa zinatumika kuwalaza watu wanaohama.

Hivi karibuni aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi alifanya mkutano na Waandishi wa Habari Dar, alipoulizwa juu ya kiasi cha fedha zilizotumika kwenye mradi huu alishindwa kutoa jibu. Hii inaonesha zoezi hili limegubikwa na ubadhirifu wa fedha za umma.

2. Kukatishwa kwa ufadhili wa watoto wa wenyeji Tarafa ya Ngorongoro.

Kwa taarifa za Serikali, tayari Kaya 1147 (takribani watu 7,000) wamehama, ieleweke Ngorongoro ilikuwa na Kaya 23,000 cha ajabu Watu hawa wamenza kusimamiwa kulipia huduma nyingi ikiwemo huduma ambayo ni jukumu la Hifadhi ya Ngorongoro.

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imekuwa ikiwafadhili Watoto wa wenyeji wanaotoka katika familia ambazo hazina uwezo kupitia baraza la wafugaji.

Baada ya utawala wa aliyekuwa Kamishna watoto wapya wapatao 154 wa vyuo vya kati, vyuo vikuu wamenyimwa mahitaji yao ikiwemo kulipiwa adana matumizi.

Hii imesababisha asilimia kubwa ya Watoto hasa wa kike kuacha masomo na wengine kuzurura mijini, jambo lilosababishwa na matumizi mabaya ya fedha zilizokwenda mifukoni mwa watu binafsi na kushindwa kukidhi mahitaji ya kufadhili Wanafunzi.

Ofisi yenye jukumu la kusaidia kusimamia maendeleo ya jamii ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongporo inashiriki kuhujumu mradi huu wa elimu ambao ndio mradi pekee kwa wenyeji wa Ngorongoro.

3. Uchotaji wa fedha za shirika bila kuzingatia taratibu za kifedha. Kuanzia tar 1/10/2023 hadi tarehe 2/2/2024 pesa zilizochotwa na bwana Kiiza kwa mutumia baadhi ya watu ni Tsh Milioni 945.

Wanaotuhumiwa na ubadhirifu huu ni (kuna orodha ya watu 52 sio hawa pekee):
  • Ally Iddi Lengikiye – Meneja wa Idara ya Intelijensia alichukua tsh. Milioni 150 tar 1/3/2024
  • Edward Mlela – Alichukua Milioni 30 tar 10/11/2023
  • Aloyce Mtui – Alichukua Milioni 75 tar 11/11/2023
  • Faston Mtondo Ndegea – Alichukua milioni 55 tar 25/11/2023
Fedha ziliendelea kuchotwa bila kufuata kanuni wala utaratibu za kifedha ambapo feza zilizochukuliwa kwa njia ya Masurufu Imprest kuanzia October hadi Machi ni bilioni 1.668.

4. Bwana Kiiza alipokuja alikuwa ana aina ya maisha ya aina yake, amekuwa na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kukodisha ndege kwa kisingizio kuwa inatumika kwaajili shughuli za taasisi wakati sio kweli (amekuwa akitumia ndege kwa safari zake za Zanzibar, Dar, Bukoba).

Tar 24/20/2023 zilichotwa Tsh. Milioni 15 kwaajili ya ndege, 22/11/2023 ilichotwa Tsh. Milioni 14, tar 28/11/2023 zilichotwa Tsh. Milioni 30 nyingine, na Tar 2/12/2023 ilichotwa Tsh. Milioni 100 (Milioni 159 zikawa zimetumiwa ndani ya kipindi hicho na bwana Kiiza)

5. Mhifadhi wa Ngorongoro kulala hoteli ya kitalii kwa gharama ya Tsh. Milioni 400 kwa muda wa miezi mitatu.

Analala hoteli moja inayoitwa Member of Gran Melia zamani ilikuwa inaitwa WildLife, mtu huyu kwa siku anatumia Dola 1250 ambayo ni zaidi ya Tsh. Milioni 3 na kwa muda miezi mitatu aliyokaa pale ametumia Tsh. Milioni 400 bila kuzingatia kuwa kumekuwepo na uwezo wa yeye kuishi kwenye nyumba aliyokuwa anaishi mtangulizi wake au kutafuta hoteli za gharama nafuu, kwani fedha hiyo aliyotumia ingeweza kusomesha wanafunzi wapatao 154.

6. Kudhibiti shughuli za kimila (kiutamaduni, kiuchumi na kuzuia wenyeji wa ngorongoro kwenda nyumbani)

Kunyimwa kuingia pale na kurukishwa kichura ni jambo la kawaida, kurudishwa watu getini ni jambo la kawaida kuelekea Karatu. Mimi binafsi mtoto wangu binafsi alinyimwa kuingia Ngorongoro kwakuwa hakuwa na utambulisho japo anajulikana ni mtu kutoka Ngorongoro, wengine walijitolea kulipa lakini imeshindikana.

Sisi tunasema kila mara hatupingani na zoezi la serikali, na nia ya Rais inaweza ikawa ni njema kabisa lakini nia ya wanaume waliomzunguka, nadiriki kusema wanamdanganya mama.

Tumekuwa tukikaa na wanayama hawa muda mrefu, tukiwafuga muda mrefu nab ado tunataka kuendelea kuishi nao, tuachieni tuangalie Wanyama wetu. Tunachotakiwa kupanga ni kwamba miaka 100, 200 inayokuja tunakwenda wapi? Ngorongoro inakwenda wapi? Sio ututenge!

Edward Maura – Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji
Kwa mujibu wa Katiba na Tanzania kila mtu ni mlinzi wa rasilimali za nchi hii, bila kujali umetokea wapi. Pamoja ya kuwa na serikali na watu wengi wanaweza kuchukua tafsiri kwamba tunasema hivi kwasababu tunapingana na watu kwenda Msomera. Suala la watu kwenda Msomera ni ajenda tofauti na ubadhirifu wa mali za umma ni ajenda nyingine tofauti.

Pamoja na kuwa zoezi la kuwapeleka watu bado linaendelea na liendelee tu, sisi ambao tuko ndani tutaendelea kukemea kwa namna yoyote yule ambaye anatumia rasilimali zetu, kodi yetu wapiga kura vibaya kwa kigezo cha wapiga kura.

Waandishi wa habari mmeuliza hizi taarifa mna uhakika nazo, mimi nimetoa taarifa, ni jukumu la serikali kwenda kuchunguza kama hiyo taarifa ina ukweli au haina ukweli, tmesema tarehe, takwimu, tumesema cheque number na benki iliyotumika. Tumewarahisishia vyombo vyetu vikachunguze.

Lakini wakati tunasema haya kuna matatu naomba niongeze yakumbukwe;

  • Tumemaliza taarifa ya ubadhirifu tunapanga kuja na taarifa ya matumizi mabaya ya uwekezaji ya utalii katika eneo la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Lengo laserikali kuwatoa watu ilikuwa ni kwaajili ya kufanya conservation, tunafanya conservation lakini kuna uwekezaji mkubwa unaendelea kwenye lile eneo bila kuangalia wanawekeza kwenye eneo gani, bila kuangalia eneo lina umuhimu gani kiikolojia, pia hata taratibu za uwekezaji zinaoendelea pale na kwenyewe kuna ubadhirifu, tunakuja na hili la utalii.

  • Inanishangaza sana kuona mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro inafanya ubadhirifu namna hii na bodi ya mamlaka ya hifadhi badi ipo. Jukumu kubwa la bodi ni ni kuhakikisha kwamba wasimamia uongozi, rasilimali, haki ya wafanyakazi na mjukumu ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro yanatekelezwa ipasavyo. Wakati ubadhirifu wote huu ukifanyika kabla Rais hajafanya utenguzi wa bwana Kiiza bodi ya mamlaka hifadhi ya Ngorongoro mmetekeleza wajibu gani.

  • Kwa mujibu wa muundo wa mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Rais ana mammlaka kwa Muhifadhi lakini mwenye mamlaka na wasaidizi wake ni Waziri. Nashngaa mpaka leo wakina Mjema (Kaimu Mhifadhi Msaidizi kwenye mambo ya operation) ambao wanatajwa ndiowanakwamisha wataalamu wetu wasiende kupima sampuli za faru, tembo, nk kwa kigezo kwamba hakuna fedha ili aweze kuwakingia wenzake, bado yuko ofisini! Na ni jukumu la Waziri wa Maliasili kuchukua hatua kwa watu wa namna hiyo.
Kwenye utawala bora kuna kitu wanasema “UWAJIBIKAJI” ambao una nguzo tatu; Kuwajibika, Kuwajibishwa, au ujiwajibishe. Waziri wa maliasili anatakiwa kupima mambo haya matatu.

Tunasema haya kwa msisitizo, tumekuwa tunatishiwa sana kuzungumza na vyombo vya habari kila siku, tunatumia uhuru wetu, HATUTANYAMAZISHWA KAMWE wakati mambo yanapiga kelele! Ukienda leo ukiwakuta wafanyakazi wa mamlaka ya uhifadhi ya Ngorongoro wanalia machozi! Anateuliwa mhifadhi kuja Ngorongoro anakuja na kundi la watu wake, lakini amewakuta watu 400-500 wameipigania Ngorongoro na kuilinda unakuja kuwanyima stahiki zao za msingi!

Kulikuwa na kitu kinaitwa Geas, iliaznishwa muda mrefu na Ngorongoro wakaja kuweka mfumo mzuri wa kuendesha mfumo wao, walikuwa na sheli yao, lakini ghafla mtu mmoja anakuja kusimamisha na kuipa kampuni ya Puma.

Unamnyima mtoto wangu kwenda shule halafu wewe unachota hela unategemea nisikuseme kwenye vyombo vya habari? Nitakusema asubuhi, mchana na jioni

Thomas Mtweti – Mwenyekiti wa Kijiji
Yote yanayosemwa ni kweli kabisa. Watu wanaendelea kunyanyasika, mfano tae 23/3/2024 kuna geti la Opiro ambalo linaunganisha kata ya Eyasi na Kata ya Endule, huwa tunachukua ngo’ombe kutoka Endule kupeleka mnada wa Eyasi Mang’ola Sasa wakati wa kurudusha ng’ombe askari wa mamlaka wa geti la Opiro wanakataza kabisa kurudisha ng’ombe wasiopata bei.

Mfano tarehe hiyo kuna mfungaji alipeleka ng’ombe 5, akauza 2 akarudisha watatu, askari wakamfukuza na gari mpaka ng’ombe wakapotea, lakini kwa sasa wanashikilia ng’ombe 1 mpaka tunavyoongea, ambapo wanadai 230,600 ili waweze kuachia ng’ombe.

Ni lini utaratibu kuwa na kibali ndio uweze kuingiza kitu ngorongoro uliwekwa? Kama waliamua wao wenyewe kwanini hawajatuma taarifa ya kimaandishi ofisi ya Kijiji ili tuweze kuongea na watu wetu? Huu ni nyanyasaji mkubwa.

Tar 25/3/2024 kuna vijana walikamatwa kwenye Kijiji changu kuwa wamepitisha muda wa kufunga shughuli zao ndani ya hifadhi (muda was aa nne biashara zinafungwa), vijana walikuwa wamefunga biashawa wakawa wamekaa ndani wanafanya mahesabu, askari wakawavamia na kuwakamata, sasa hivi tunavyozungumza wamepelekwa mahakamani Ngorongoro ambapo wamedhaminiwa iliwarudi mahakamani (kesho yake).

Kuna taarifa kwamba kuna shule inayotaka kuhamishwa kupelekwa tarafa ya loliondo, shule ambayo tulichangia rasilimali na nguvu kazi mpaka shule ikajengwa, kama ni kwli hili linataka kufanyika tunamuomba Rais, kwakuwa kuna watu wanaohama kwa hiyari, wanaobaki wapate haki zao.

Kwenye suala la geti mimi nina watu wawili ambao wana vibali kupitia ofisi yangu na mtendaji amegonga muhuri ieleweke ni mwanakijiji lakini bado wakakataliwa na wakaenda kulipia ndio wakaruhusiwa kupita. Sasa kama nyaraka za serikali ya Kijiji haziaminiki ni wapi tutapata uaminifu wa kuaminika?

Hii nchi kama unasehemu upo ya kuiba na inaibika we iba tuu jigawie mapema maana watu wanafanya ubadhirifu wa mabilioni na na wana ripotiwa lakini bado wanatamba tuu uraiani kwa kejeli wacha wote tuwe wezi tuu
 
Back
Top Bottom