Aliyekiri kumuua mpenzi wake aachiwa huru

Soma ile habari vizuriii...!! Polisi wanatengeneza vipi mazingira kwani wao ndo wamemuua??? Kwamba jamaa aliekuwa anacheat nae ndo kamuua then katoa hela jamaa afungwe???

Mkuu ninani anayekamata na kukusanya ushahidi kwa mfumo wetu Tanzania? Ni vipi mpaka leo aliyehusika na Akwilina hajakamatwa etc... au mwenzetu unaishi Zimbabwe?
 
Aliuwawa alikuwa ni Ex wajamaa..

Siku aliyopotea huyo mdada kuna mtu alimuona mshkaji akiwa na huyo mdada..

Jamaa anakiri alimuhisi demu wake anamcheat..

Siku ya demu anapotea jamaa alionekana nae..

Siku anakamatwa alikutwa na Tshirt yenye Damu..

Jamaa anakiri kumuua demu..

Alafu Judge uchwara anasema mahakama imekosa ushahdii wa kutoshaa ni upuuzii watu wanafungwa kwa ushahidi wa maneno tu leo ushahidi mpaka wa kimazingira upoo alafu falaa linaachiwaa huruu...Kenya kwa Rushwaaa wamezidi sasa haya mafalaa.

ACHENI KUJIDAI MANAIJUA SHERIA BHANA... Hii case kuna rushwa mimi angekuwa huyu ni dada angu kauwawa nasema ningekata rufaa mpaka Jamaa afungwe maisha kama sio Kunyongwaaa liuaji hiloo..
Kumbe mkuranga ipo Kenya nowdays
 
Yaani mtuhumiwa kakiri kwamba kaua, mauaji wanataka ushahidi?
 
Muuwaji anakiri alafu Hakimu anasema hakuna ushahidi wa kutoshaa...!! Aibuuuu
... hakimu tena? Kesi imeamuliwa na "half-bench"; majaji watatu wa mahakama ya mwisho Kikatiba. Labda ni kufanya tu case review under "full-bench" na Jaji Mkuu akiwemo na sio kukata tena rufaa maana hakuna mahali pengine zaidi pa kwenda. Wanasema ni mwisho wa reli.
 
Wakate rufaa kwenda wapi wakati ilikuwa mahakama ya Rufaa ??
... kwa maombi maalumu, case inaweza kufanyiwa review na full-bench majaji 7 wa Mahakama hiyo hiyo ya Rufaa uamuzi wao ndio utakuwa wa mwisho kabisa badala ya uamuzi wa half-bench majaji 3.
 
Mkuu ninani anayekamata na kukusanya ushahidi kwa mfumo wetu Tanzania? Ni vipi mpaka leo aliyehusika na Akwilina hajakamatwa etc... au mwenzetu unaishi Zimbabwe?
Akwilina ile kesi ya polisi na imekaa kisiasaa...!!
 
... kwa maombi maalumu, case inaweza kufanyiwa review na full-bench majaji 7 wa Mahakama hiyo hiyo ya Rufaa uamuzi wao ndio utakuwa wa mwisho kabisa badala ya uamuzi wa half-bench majaji 3.
Hiyo siyo Rufaa
 
Hapa haki ishapokonywaaa mkuu alafu watu wanashangilia eti sheriaa...!!
 
... Mkulima Justine sioni akiwa na ushawishi wowote wa kuwashawishi majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa waamue in his favor. Sioni uwezekano wa rushwa hapo.
 
Ofcoz kuna Injustice tu...!! Lakini mkulima pia anaweza kuwa na Ndugu wapo kwenye system au wana helaa so mazingira ya rushwa bado yapo mkuu.
 
Kuna kesi moja hata babu yangu mzaa baba hajazaliwa!
@.alimfumania mkewe akamuua mfumaniwa!
Mahakama ikamkuta muuaji ana hatia ya kuua kwa makusudi hivyo ikamuhukumu @ anyongwe hadi afe!
pilato akamwambia mshitakiwa ajitetee kwa nini asinyongwe hadi afe?!
mshitakiwa akajitetea kwa Kumuomba pilato amlete mkewe pale mahakamani ili **@@$"#
Pilato Akakasirika mbele ya nembo kuu ya upilato
Ndipo wakili wa mshitakiwa akamuhoji pilato, mwenzio Kakuomba tu Umefura kwa hasira!
Jee Ungemfumania ingekuwaje?!
Ikabidi kesi ianze upya toka kuua kwa kukusudia hadi kuua kwa kutokusudia!
Mahakimu nao ni Wanadamu!
 
Aliuwawa alikuwa ni Ex wajamaa..

Siku aliyopotea huyo mdada kuna mtu alimuona mshkaji akiwa na huyo mdada..

Jamaa anakiri alimuhisi demu wake anamcheat..

Siku ya demu anapotea jamaa alionekana nae..

Siku anakamatwa alikutwa na Tshirt yenye Damu..

Jamaa anakiri kumuua demu..

Alafu Judge uchwara anasema mahakama imekosa ushahdii wa kutoshaa ni upuuzii watu wanafungwa kwa ushahidi wa maneno tu leo ushahidi mpaka wa kimazingira upoo alafu falaa linaachiwaa huruu...Kenya kwa Rushwaaa wamezidi sasa haya mafalaa.

ACHENI KUJIDAI MANAIJUA SHERIA BHANA... Hii case kuna rushwa mimi angekuwa huyu ni dada angu kauwawa nasema ningekata rufaa mpaka Jamaa afungwe maisha kama sio Kunyongwaaa liuaji hiloo..
Mshtakiwa ndie aliekata rufaa, sasa alikata rufaa ya nini kama kweli alikubali kwa hiyari kuwa kaua!?
 
Back
Top Bottom