Aliyejiua Derm Plaza azikwa

Nimegundua alikuwa kaoa dada mkikuyu mkenya. Hapa kazi alikuwa nayo si siri.
Wakikuyu Ni wamachame x3.
Kuna wakikuyu Aina mbili. Kikuyu wa Nyeri Kama mke wa rais Kibaki (mnakumbuka alivyomuendesha Kibaki hata akiwa rais) Hawa Ni machame × 5.
Na Kuna kikuyu wa Kiambuu. Hawa anaweza akuzike hapo hapo sitting room kwako na maisha yaendelee. Ni wazuri kwa sura tatizo miguu.
 
Nimepita kwenye page ya Facebook ya mke,mke alipost picha.Kuna mtu akamwambia hana makuu. Mc Joe akaja akashangaa nani hana makuu?
20230527_070433.jpg
 
Huyo mwanamke anaonekana kiburi sana.
Kuna interview nimeona,yule mwanamke aliwaambia kazini kwake kuwa,mmewe kaondoka nyumbani asubuhi alfajiri bila kumuaga,so ana wasiwasi.Na akapiga simu kazini kwa mmewe wakamwambia wanaiona gari,ila yeye Joe hawamuoni.So mme kuondoka Alfajiri bila kumuaga mkewe.Lazima kulikuwa na kitu.Ninaamini ndoa ikiwa na upendo ndani yake .Mme akipata tatizo ,wa kwanza kumkimbilia ni mkewe, na kwa mke ni hivyo hivyo.
 
Basi inaonekana waligombana na mke anajua sababu ya mumewe kujiua
 
Wakikuyu Ni wamachame x3.
Kuna wakikuyu Aina mbili. Kikuyu wa Nyeri Kama mke wa rais Kibaki (mnakumbuka alivyomuendesha Kibaki hata akiwa rais) Hawa Ni machame × 5.
Na Kuna kikuyu wa Kiambuu. Hawa anaweza akuzike hapo hapo sitting room kwako na maisha yaendelee. Ni wazuri kwa sura tatizo miguu.
Kiambu ni zaidi ya Mafia. Kuna wakati walibadili mbinu wakiona me ana fedha halafu akitaka kukuondoa anakuwekewa unga wa steel wire kidogokidogo, baada ya miaka miwili au mitatu unaondoka kwa ugonjwa. Hapo hakuna atakayestuka.

Si unaona Mkikuyu mk254 kaenda kuoa Mluya badala ya Kikuyu mwenzake
 
Hatari na nusu
 
Wakikuyu Ni wamachame x3.
Kuna wakikuyu Aina mbili. Kikuyu wa Nyeri Kama mke wa rais Kibaki (mnakumbuka alivyomuendesha Kibaki hata akiwa rais) Hawa Ni machame × 5.
Na Kuna kikuyu wa Kiambuu. Hawa anaweza akuzike hapo hapo sitting room kwako na maisha yaendelee. Ni wazuri kwa sura tatizo miguu.
Nipe connection ya mmoja wapo ajue sisi sio wale wakenya wanapigwa na wake zao.

Yaani akizingua kidogo anaamkia mwananyamala H akizingua tena ni Kairuki, mara ya tatu Mloganzira, mara ya nne atajikuta pale Muhimbili vile vimajengo Opposite na JKCI 😎😎
 
Back
Top Bottom