Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

Ilaaaaaa kanda ya ziwa, kusini mashariki ikiwa mtwara Lindi na kaskazini wachaga na wapareee ahsante mmejuaaa kuutumiaa ubinadamu wenu ipasavyo sio kama ibaki stori richmaviKo
 
Ilaaaaaa kanda ya ziwa, kusini mashariki ikiwa mtwara Lindi na kaskazini wachaga na wapareee ahsante mmejuaaa kuutumiaa ubinadamu wenu ipasavyo sio kama ibaki stori richmaviKo
Oyooooo.. Wambie ukwel wakusikie..
 
We ndo unasababisha watu tunyimwe mkopo. Mnamaliza vyuo, kazi mnapat kosha mwaendekeza uzinzi na hela ya kurudisha mkopo mnakosa..
 
Tena wengine huwa nawakumbusha kabisa waniroge lakini wapi. Naona wataalam tanga hawapo siku hizi.
Dawa yako inachemka.umeingia choo cha kike mkuu, machoni wapo kama watu..Kwa sasa bado mapema sana utarudi na mrejesho hapahapa.
Mabinti wa kitanga
Wanajua kujipamba
Kwa mapenzi wanatamba
Soon mkuu utatia nanga
 
Back
Top Bottom