Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
796
Reaction score
713
Ilivuma sana kila kona Tanga ni nomaaa ingawa wengine walipaita waja leo waondoka leo. Lakini watu waliofika walizidi kupapaisha kwa kudai kuwa ukifika Tanga hubanduki kabisa.
Yote hayo yalizidi kunipa hamasa ya kutaka kujua, kweli yaliyomo yamo au ndo blaa blaa za watu.

Kwakua mungu si Clinton, ilifikia muda nikatpata chance kutia timu katika jiji hilo la wabobezi wa fani zao, kama wasemavyo watu wengi. Ilikuwa ni baada ya kumaliza tu chuo, post yangu ya kwanza Tanga kunani.

Ile natua tu ninae mtoto wa kisambaa, nikampa air time ya kuonyesha ufundi wake wa mapishi, sikumuelewa kabisa. Wazo likanijia nivute mzigua, yeye ilibidi nifanye nae tour kabisa. Huyu alikuwa tofauti kidogo koz alikuwa na style yake ya kulalamika hususani tulipokuwa tunaikaribia kibo na mawenzi, utasikia "aaah vinauma". Mzigua kwenye mbuga za tambarare ni kama hayupo vile, mpaka nikasema hawa watu vipi.

Sikukata tamaa, nikauliza wenyeji hivi watoto wa mjini kabisa kwa hapa tanga ni Kabila gani? Nikaambiwa, wadigo. OK, nikasema leo leo sipotezi muda. Nikaanza kusaka, nikiwa napata moja moto moja baridi ghafla meza jirani katua mtoto mbichi kabisa, nikajipendekeza kumkaribisha kwangu.

Nae bila hiana kasema naja. Katika utani utani, nikamuuliza Kabila gani kasema mdigo. Hapo hapo sikupoteza hata sekunde, nikamvaa akanielewa. Si kutumia nguvu, time ya kulala ilipofika tikaelekea bonge la lodge nikiamini kabila lake ndo limebeba jina la album, cha kushangaza beat na nyimbo zilikuwa haziendani kabisa.

Sikuchoka, siku kadhaa zikapita nikasimamia show nyingine ya kibondei. Kiukwel haikunilipa kama nilivyokusudia, nikakata tamaa kabisa.

Siku nyingine tena nikiwa lushoto nikaibuka na kakabila kadogo kabisa, yaani wambugu. Napo nikasema nitest zali. Mtoto akajisajili, nikamsogeza eneo la tukio kama kawaida.
Angalau huyu alijitahidi kuonyesha hasira za utotoni, kiukwel alikuwa anamudu kulia tangu dakika ya kwanza mpaka kipenga cha mwisho.

Hadi kufikia hapo nikawa nimemaliza makabila yote bila kufanikiwa kuona mjuzi wa sita kwa sita kama wasifikavyo huko nje.

Kwa kweli mpaka leo, sitomsahau mnyamwezi wangu wa igunga tabora. Alikuwa mtundu wa kila idara na wizara zake zote, kwa huyu kiumbe mimi nilikuwa kama kindergarten kila kitu nilikuwa namsikiliza yeye.

Kumbe tanga jina tu labda kwa suala uchoyo ndo ntawasingizia bure, hiyo kitu hawana kabisa koz sijaw nyimwa chochote na popote nilipohitaji. Wanafaa sana hasa kwa usawa huu wa bwana juma. Shikamoo wanyamwez popote mlipo.
 
Hizi research nyingine hizi mtaji wake ni wa hatari kabisa...
 
Mnyamwezi wa IGUNGA mkuu , Ulitaka kusema SHISHI BABY ?
 
_aysher pitia hapa best, leo wanyamwezi wamesifiwa sana.

*Mkuu dustless bado upo tanga, muheza??
 
Duu Mkuu amenikumbusha mnyamwezi!!!nilianguka kwa mnyamwezi wa Nzega shombe wa kiarabu ohooooo najuta kumuumiza ktk mahusiano.Jamani kale katoto ni kafundi aisee.Sitakasahau abadani
 
Back
Top Bottom