Aliyeharibu Maths ionekane ngumu

Mwalimu S

Member
Sep 20, 2015
41
33
Wana jamvi embu leteni maoni yenu juu ya huku ugumu wa maths nani amechangia kwa kiasi kikubwa..mm hasa naona ni ALGEBRA yeye ndie ameleta uhasama kwenye maths baada ya kuchanganya herufi na namba..
 
Duh sasa kama mwalimu unasema math ngumu sijui watoto wetu watakimbilia wapi Sasa
 
Huyo Aljebra ndo nani?yule mwaarab?

Newton na calculus yake ndiye aliyefanya mathe kuwa ngumu

Kwenye physics ni Einstein na Relativity yake,mpaka leo wanaijua watu saba tu
Waliobaki wote wana kariri.

Kwenye Biology je?watson?
 
Chemistry ndiyo wakaja wakaizika kabisa hesabu:
10.stoneware.jansen.vailly.jpg
 
MATHEMATICS ni majanga bila serikali kulitambua kua hili nalo ni jipu sidhani km tutatoka apa tulipo
 
Nafundisha Maths ila nguvu ninayotumia kusafirisha ujuzi ni kubwa zaid kuliko Mwl wa Nationalism.. Maths ni kipaji bwana kama vipaji vingine linakuwa automatic kwa mtu aliyejaliwa ila ALGEBRA kaivuruga sana namba
 
mi organic chemistry naichukia sana.
Teh teh teh!
Usinikumbushe mkuu mi nilitoka nduki baada ya mizinguo ya Mwl MAPS(RIP) pale BOX2. Ila washkaji wa PCB walikuwa wanasema organic ndo mkombozi wao. Necta nao kwa kutaka sifa wakaipa marks kibao topic hii!!!
Kwenye paper la chemistry nilikuwa nikiona swali la organic napita kushoto...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom