Aliyegundua chai na chapati mbili

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Habari za leo wadau poleni na mihangaiko kwa wale wanaongaika.mimi kwa muda mrefu nawaza hivi nani aligundua hii kunywa chai na chapati 2 au itakuwa hao hao kina Carl Peters toka Ulaya.
 
Hivi ni kwanini TV hazitangazi kujulisha muda watazamaji wake kama ilivyo redio kila baada ya saa muja utasikia hivi sasa ni saa saba kamili?
 
Back
Top Bottom