Umeelewa madaAcheni wizi ndugu,kila wimbo mnaotoa una kashfa ya kuibiwa,copy and paste.
Ona kiba anatoa nyimbo zake zisizokua na paste toka sehemu yoyote
Sio WCB wamemdaka Ni Polisi wa Kenya ndio wamemdaka na hii taarifa imetolewa mzazi mtuva mtangazaji wa Kenya na website nyingi za KenyaMtakuwa mmetoa pesa. Mlivo wambea Kama kweli mngemdaka mngeshaweka picha zake hadharani. Kiufupi mmepigwa faini kwa mwenye wimbo ndo akaurudisha. Ndio faida ya wizi hiyo
WCB wamewekeza Sana mitandaoni usishangae wapo kila mahali.Hivi ww ndo Nani pale WCB maana unajitahidi sana kwenye kazi yko
We nae Ni team kibaka tu huwa unaponda tu kila wafanyalo WCB, nonsense.Acheni wizi ndugu,kila wimbo mnaotoa una kashfa ya kuibiwa,copy and paste.
Ona kiba anatoa nyimbo zake zisizokua na paste toka sehemu yoyote
We nae Ni team kibaka tu huwa unaponda tu kila wafanyalo WCB, nonsense.
Umeelewa mada
Jamaa hapendi show-off ndio maana hasikikiAcheni wizi ndugu,kila wimbo mnaotoa una kashfa ya kuibiwa,copy and paste.
Ona kiba anatoa nyimbo zake zisizokua na paste toka sehemu yoyote
Kiba apendi show off na Wala Hana attention ndio maana azungumziwi ila nae ana kopi Sana wimbo wake seduce me kakopi baadhi ya mashairi kwenye wimbo despacito,wimbo wake wa maumivu per day kakopi baadhi ya scene kwenye wimbo wa Davido ft Tinashe,Wimbo wake wa lupela copy & paste ya I am more addicted ya Hussein machoziUjumbe umekupata
Ujumbe umekupata
Alafu me Mambo ya team sipo kabisa unaeteseka n wwMsukule sindano imeshakuingia
Alafu me Mambo ya team sipo kabisa unaeteseka n ww
Kiba apendi show off na Wala Hana attention ndio maana azungumziwi ila nae ana kopi Sana wimbo wake seduce me kakopi baadhi ya mashairi kwenye wimbo despacito,wimbo wake wa maumivu per day kakopi baadhi ya scene kwenye wimbo wa Davido ft Tinashe,Wimbo wake wa lupela copy & paste ya I am more addicted ya Hussein machozi