Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 452
- 446
Mchumia janga hula na wa kwao mateso yote yamebaki kwa familia yake wanateska na yeye atateseka mpaka basi si ajabu watampiga sana huko mahabusu waliosema mwenye nguvu mpishe waliona mbaliNilijua kifuatacho ni kufunguliwa kesi na tayari yuko central usiku wa leo