Mmesahau DCI ni nani??View attachment 2335717God is us againili ionekane Kadogosa ako sahihi kwa habari za chini huyu bwana anapangiwa zengwe apewe mashtaka tofauti ikiwezekana hata ya Uhujumu Uchumi ama matumizi mabaya ya nafasi. Mama anaupiga mwingi mnooo kazi iendelee
Chef wa framing casesMmesahau DCI ni nani??
Kwa kuwa kumbusha tuu Dci ni Kingai. Mtaalamu wa kesi za kubumba.
Tanzania tu ndio kuna huu UPUMBAVUHapa duniani inatakiwa uwe mnafiki, ukiwa mkweli tayari unaliwa.
Watu hawataki kusikia ukweli hata kidogo,
Nyie mnadhani akina Nape na yule dogo wa umoja wa vijana wa CCM wajinga, kuwa chawa kunalipa kuliko kujifanya kifaru hasa kwenye nchi zetu hizi za Kiafrika. Mwisho wa yote wale mabingwa wa vishkwambi hawatakusaidia kuweka ugali mezani baada ya kukuta yale uliyoyataka yakukute/Nchi yetu Ili mambo yaende ni kuwa mnaa Tu ukijifanya activist unatetea wengine utajijua na mkeo na wanao watakapoanza kukusumbua. Mf. Mzuri Mimi mikelele ya harakati ni humu JF kitaa nipo kama nimekunywa maji ya bendera alafu Kuna kamanda wa CHADEMA aje kunishawishi Amadala ajilipue thubutuuu!!
Siyo kweli, kila mtu anapenda UKWELI.Hapa duniani inatakiwa uwe mnafiki, ukiwa mkweli tayari unaliwa.
Watu hawataki kusikia ukweli hata kidogo,
Watu kama Kingai ni hatari kwa nchi, hawatakiwi kuwepo hapo, mama kachemshaMmesahau DCI ni nani??
Kwa kuwa kumbusha tuu Dci ni Kingai. Mtaalamu wa kesi za kubumba.
Ndio ubaya wa kufanya mambo Bila kufikiria hatima yake.....kabla ya kufanya Jambo unatakiwa unaliangalia ktk engo tofauti....Uyo jamaa amejitakia mwenyewe yaliyomkuta hakutumia busara kabisa maana yeye ni mtumishi wa Serikali sasa inakuaje anaanza kuikosoa tena ngoja apate adabu iwe fundisho
Nilijua kifuatacho ni kufunguliwa kesi na tayari yuko central usiku wa leoView attachment 2335717God is us againili ionekane Kadogosa ako sahihi kwa habari za chini huyu bwana anapangiwa zengwe apewe mashtaka tofauti ikiwezekana hata ya Uhujumu Uchumi ama matumizi mabaya ya nafasi. Mama anaupiga mwingi mnooo kazi iendelee
Huyo atakua mwigulu anataka amkomoe, unajua kabla ya magufuli kuwa kiongozi mwenye roho mbaya kuwahi kutokea nchoni alikuwepo mwigulu ambaye alitengeneza mtandao wa utekaji, utesaji na kubambika kesi watu.Kesha kamatwa kwa kosa la kimtandao na Kibatala anahangaika kujua yupo kituo gani
Uzoefu unatuonyesha kuwa utambiwa yupo Mbweni kumbe yupo Stakishari au Tazara