aliyefika hapa kuna vocha ya 10000.

wapi hapo mkuu au ni 4040 level ug nini?
 
Mkuu hiki Kijiji kipo Eastern of Kenya, in Makueni County.

Kuna mradi wa One Village One Product.....OVOP Kenya.

Haya sasa leta mshiko huo.
 
Mkuu hiki Kijiji kipo Eastern of Kenya, in Makueni County.

Kuna mradi wa One Village One Product.....OVOP Kenya.

Haya sasa leta mshiko huo.

BRIGITA pamoja na kuwa hujapatia kabisa kitendo cha kujua ni kenya unakula vocha ya 2000 ni pm ule mshiko wako lakini kama unataka kulamba zote malizia kurekebisha.
 
Ringo Edmund

Hapo ni Eastern Kenya na huo ni mradi wa kujenga Dams around Yatta Division, unaangaliwa na machakos district development plant.
Bado tu sijapata voucher, nataka niihonge for valentine.
 
Mkuu hapo ni wapi?labda naweza kuwa nimefika lakini sijijui kama nimefika!
 
watu ni hatari kwa kugoogle.....details walizozitoa hapa wamekopy na kupest...sio mbaya nilichelewa kugoogle tu...
 
Ringo Edmund

Hapo ni Eastern Kenya na huo ni mradi wa kujenga Dams around Yatta Division, unaangaliwa na machakos district development plant.
Bado tu sijapata voucher, nataka niihonge for valentine.
Ukishaipata vocha niPM kwa ajili ya hayo maneno matatu ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…