Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
ni nini na ni wapi.View attachment 82449
Hayo maji ya kinyongo yatanyweka kweli?
Mkuu hiki Kijiji kipo Eastern of Kenya, in Makueni County.
Kuna mradi wa One Village One Product.....OVOP Kenya.
Haya sasa leta mshiko huo.
Ukishaipata vocha niPM kwa ajili ya hayo maneno matatu ya mwisho.Ringo Edmund
Hapo ni Eastern Kenya na huo ni mradi wa kujenga Dams around Yatta Division, unaangaliwa na machakos district development plant.
Bado tu sijapata voucher, nataka niihonge for valentine.