AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,484
Duuuh naona Wana wameamua, Ebu eleza kivipi[emoji848]Dawa ya haya yote ni katiba mpya.
Duuuh naona Wana wameamua, Ebu eleza kivipi[emoji848]Dawa ya haya yote ni katiba mpya.
Sasa hizi 'ndulele' ambazo zimedungwa sindano, ndio zitakuwa makagare ya huyo jamaa aliyezikata kata hizo kabeji au? Waafrika bana! 😆Huyo mhanga wa shambulio hili aje anione kwa ajili ya malipiziView attachment 2287878
Alihama na mkoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakua alifreez KWA mda wa week nzima duuu