Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
umenifurahisha kwa kuwadharau wenzakoHizi picha hakuna hata mmoja aliyeelewa. Ipo hivi: Huyo mama yupo kitandani na mtoto wake pamoja na baba,ila mzee baba anataka game (sex) but mtoto tayar amelala ila anashtukashtuka hivyo wakaamua kumuweka sehem pembeni akiwa amelala,wakaendelea mchezo wao ila kumbe dogo bado yupo macho akawa anawasililizia wakipiga game na akawa anashangaa kumbeee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
wengi wanazungumzia mechi pamoja na wewe
cartoon huwa na mawazo mengi na mengi ni uwanja mpana wewe unavyofikiri
huyo mchoraji inategemea na Nchi aishio huenda wamedanganywa, wamebembelezwa miaka mingi lkn mwisho wameshtuka TUNAIBIWAkumbe wazee mnafaidi sasa muamke
pokea maoni yakila mtu mleta Mada Equation x